Penzi Kitovu cha Uzembe
New Member
- Jun 24, 2024
- 4
- 4
Habari wakuu,
Mimi ni fundi rangi za nyumba, nina uzoefu wa miaka zaidi ya 10 katika kazi hii. Ninauwezo wa kufanya kazi hii kwa ustadi mkubwa.
Napenda kuchukua nafasi hii kuwaomba kazi ama connection ya kazi, nawaahidi ufanisi wa kazi uliotukuka na uwaminifu mkubwa.
Mimi napatikana Dar es salaam, kazi ikipatikana popote pale ndani ya Tanzania ama nje ya Tanzania nipo tayari kwenda kuifanya kwa moyo wangu wote.
Mawasiliano yangu 0687614981.
Asanteni kwa muda wenu.