Fundi simu aliuza taarifa za ndungu yangu kwa wachapisha umbea, zikachapishwa mtandaoni kumdhalilisha.
Alipeleka simu kwa fundi, alipoanza kuirekebisha akapata dharura akamuaga kuwa atarejea baadae, ila akasema inabidi atoe nywila kwani atahitaji kuifanyia majaribio.
Mara baada ya kutoka huku nyuma aliingia kwenye kifaa cha ndugu yangu yaani simu na kuchukua picha na video zake alizokuwa amezitunza, akazichukua na kuwauzia watu wanaoendesha akauti za maudhui ya umhea mtandaoni, wamezichapisha kwa jina la Connection sasa anadhalilika mtandaoni, jaoo imepita siku kidogo ika bado hali yake haijakaa sawa.
Anadhalilika sana kwani watu bado wanazishea, sijui afanye nini. Binafsi nimejifunza kutomwamini yoyote kwenye kifaa changu cha mawasiliano.
Unamshauri vipi?