dark web
Member
- Aug 23, 2025
- 18
- 15
Habari wanajukwaa,
Naitwa fundi mwenye uzoefu mzuri katika fani ya umeme na vifaa vya kielektroniki, napatikana Dar es Salaam. Nimekuwa nikihudumu kwa ufanisi katika kazi mbalimbali zinazohusiana na matengenezo, usimikaji, na ushauri wa kitaalamu kwenye vifaa vya kila aina.
Huduma ninazotoa ni pamoja na:
Ninajivunia kufanya kazi kwa ubora, uaminifu na kwa bei nafuu. Natumia vifaa sahihi, na hutoa ushauri sahihi kulingana na mazingira halisi ya mteja.
Kwa yeyote anayehitaji huduma katika eneo mojawapo kati ya hayo, au mwenye swali lolote kuhusiana na vifaa husika,
Nakaribisha kwa moyo wote. Naamini mawasiliano ya moja kwa moja hutoa nafasi nzuri ya kuelewana kabla ya kazi kuanza.
.Wasiliana nami moja kwa moja kwa namba: 0755 969 589 whtsp/normal call
.Tupo kazini muda wote, hata siku za mapumziko,
Asanteni kwa kunisoma,
Naipokea kazi yoyote kwa mikono miwili.

- Ufundi wa umeme wa majumbani na maofisini
- Washing Machine repair* (aina zote)
- TV repair
- Installation & Repair ya Satellite Dish: DStv, Azam, StarTimes, Free-to-Air
- Usimikaji wa CCTV Camera (nyumbani, maofisini, biashara)
- Electrical Fence Installation & Maintenance