Fundisho kubwa Sana kwa WCB

Wivu tu... Maneno yako yaonyesha una nongwa.. Comment vzr, usipanic mkuu
 


WCB wamespend sana kwa harmonize...na hamornize hakuingiza hela??

wali mbrabd sana mtu ambaye hana faida wala kipaji?

wambrand harmorapa basi au liquid
 
Hata Rich Mavoko alikuwa msanii mkubwa sana.
Harmonize kama kweli anatoka awe wangalifu sana. Ata hit ila sidhani kama atavuka miaka 5. Pia litakuwa somo kwa wengine.
Wasanii wa bongo sijui hawajifunzi au nikujitoa ufahamu.... Huyu hana miaka 2 kwenye game, kuna wasanii wa Marekani ni ma billioner lakini bado kwenye lebel... Sijui tunakwama wapi
 
Hizo ngoma nyingi na collabo nyingi tena za kimataifa connections katoa wapi?

Nadhani ni bora hata Rayvan anaweza kulalamika maana yeye collabo zake ni Diamond tu,chache sana za wasanii wakubwa wa nje kuliko Harmonize.
 
Hivi Bongo msanii hawezi kuwa na kampuni yake ya biashara ya muziki akiwa ndani ya kampuni iliyomtoa?
Mf. Meek Mills hajaondoka MMG lakini naye ana Dreamchasers. Au Eminem yuko chini ya Aftermath ya Dre. na still ana Shady records iliyowatambulisha kina 50, Royce 5'9..!
 
Hahahahahahaaa!! Si umeona mavoko anavyo tamba baada ya kutoka.
Kumbuka je? Ulikua unamjua kabla y diamond kumtoa kimziki?
 
Mi ananiboa vile anavyoiga sauti ya diamond ....nikiwa nasikiliza nyimbo zao redioni nashindwa kutofautisha huyu ni diamond au harmonize! Sasa ajitahidi awe na utambulisho wake
kweli mkuu nilikua nasikiliza audio ya kainama nikajua alieanza kuimba ni diamond.... kuja kucheki video nikatahamaki sana
 
Nitarudi hapa baada ya mwaka mmoja kukukumbusha umuhimu wa kuweka akiba ya maneno
 
Safi sana Jeshi.. Good choice! Pambana kivyako.. Maisha ni kupambana period! temana na hao kina babu tale wanajikutaga sana Miungu watu!
 
daaah yan watu mnavyoongea utadhani ni wafanyakazi wa WCB tena c tu wafanyakazi yan n kama n mameneja pale Wasafi
 
We sara mzungu nn?
 
Hivi kati ya Harmonize vs Lavalava, Harmonize vs Mbosso, Harmonize vs Diamond, ni nani ametoa ngoma nyingi over the past 1 year?!
 
Mbona ndio mwenye nyimbo nyingi mwaka huu zaidi ya wasanii wote wa wasafi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…