- Thread starter
- #61
Unafikiria harmonize ni mavoko??Tunasubiri matokeo tu....We ropoka
Ole asimzidi sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafikiria harmonize ni mavoko??Tunasubiri matokeo tu....We ropoka
Ole asimzidi sasa
Kwani ushasikia anaimba nyegezi ao matusi ?Mi ananiboa vile anavyoiga sauti ya diamond ....nikiwa nasikiliza nyimbo zao redioni nashindwa kutofautisha huyu ni diamond au harmonize! Sasa ajitahidi awe na utambulisho wake
Changamoto Hua Hazikos Ktk Kusaka Lyf Bt Kama Harmo Atawasikiliza Hawa Wanaotaka Ajitenge Ataumia.... Bora Ajitenge Kwa Maamuz Yake.... Coz Hawa Hawa Ndo Walimfanya Rich Ajitenge... Je? Leo Yupo Wapi Anapaswa Asome Alama Za Nyakat...
Umarekani na bingo wapi na wapi ??Wasanii wa bongo sijui hawajifunzi au nikujitoa ufahamu.... Huyu hana miaka 2 kwenye game, kuna wasanii wa Marekani ni ma billioner lakini bado kwenye lebel... Sijui tunakwama wapi
Sasa unataka kumlinganisha rayvan na harmonize hahaaha wcb wamepoteza kichwa kijana asiye imba nyegezi na matusiHizo ngoma nyingi na collabo nyingi tena za kimataifa connections katoa wapi?
Nadhani ni bora hata Rayvan anaweza kulalamika maana yeye collabo zake ni Diamond tu,chache sana za wasanii wakubwa wa nje kuliko Harmonize.
Napenda sana uimbaji wa huyu kijana ila shida ni ile ile ya kukopi sauti ya diamond. Kuna kipindi alikuwa anaiga hadi dressing style ya Nassibu. That was too nasty.Mi ananiboa vile anavyoiga sauti ya diamond ....nikiwa nasikiliza nyimbo zao redioni nashindwa kutofautisha huyu ni diamond au harmonize! Sasa ajitahidi awe na utambulisho wake