Fundisho kubwa Sana kwa WCB

Fundisho kubwa Sana kwa WCB

Mi ananiboa vile anavyoiga sauti ya diamond ....nikiwa nasikiliza nyimbo zao redioni nashindwa kutofautisha huyu ni diamond au harmonize! Sasa ajitahidi awe na utambulisho wake
Kwani ushasikia anaimba nyegezi ao matusi ?
 
Bro kuna Mambo mengi sana huwa yanatendeka ndani ..
Changamoto Hua Hazikos Ktk Kusaka Lyf Bt Kama Harmo Atawasikiliza Hawa Wanaotaka Ajitenge Ataumia.... Bora Ajitenge Kwa Maamuz Yake.... Coz Hawa Hawa Ndo Walimfanya Rich Ajitenge... Je? Leo Yupo Wapi Anapaswa Asome Alama Za Nyakat...
 
Wasanii wa bongo sijui hawajifunzi au nikujitoa ufahamu.... Huyu hana miaka 2 kwenye game, kuna wasanii wa Marekani ni ma billioner lakini bado kwenye lebel... Sijui tunakwama wapi
Umarekani na bingo wapi na wapi ??
 
Hizo ngoma nyingi na collabo nyingi tena za kimataifa connections katoa wapi?

Nadhani ni bora hata Rayvan anaweza kulalamika maana yeye collabo zake ni Diamond tu,chache sana za wasanii wakubwa wa nje kuliko Harmonize.
Sasa unataka kumlinganisha rayvan na harmonize hahaaha wcb wamepoteza kichwa kijana asiye imba nyegezi na matusi
 
Mi ananiboa vile anavyoiga sauti ya diamond ....nikiwa nasikiliza nyimbo zao redioni nashindwa kutofautisha huyu ni diamond au harmonize! Sasa ajitahidi awe na utambulisho wake
Napenda sana uimbaji wa huyu kijana ila shida ni ile ile ya kukopi sauti ya diamond. Kuna kipindi alikuwa anaiga hadi dressing style ya Nassibu. That was too nasty.
 
Back
Top Bottom