Mtoa mada akili huna yule msanii alichukuliwa na wasafi akiwa hajui hata kutaja neno malaika anasema maraika alikuwa Hana mbele Wala nyuma hiv angekuwa anabaniwa angekuwa hapo alipo Leo? unajua how much WCB wamesipend kwa ajili yake? unajua wcb wamemdefend kwa mashabiki kwa kuwa akilalamikiwa ana iga uimbaji wa boss wake.Harmonize ni msanii aliyekuwa anapigwa vita sehemu nyingi lakin management yake ya WCB ikapambana Sana lakini ndio msanii waliobrand kwa uzito mkubwa kuliko wasanii wengine wa WCB alafu Leo unaongea upuuzi Kama huu wewe subiri muda utaongea.