Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na Diamond alikuwa anajuaMtoa mada akili huna yule msanii alichukuliwa na wasafi akiwa hajui hata kutaja neno malaika anasema maraika alikuwa Hana mbele Wala nyuma hiv angekuwa anabaniwa angekuwa hapo alipo Leo? unajua how much WCB wamesipend kwa ajili yake? unajua wcb wamemdefend kwa mashabiki kwa kuwa akilalamikiwa ana iga uimbaji wa boss wake.Harmonize ni msanii aliyekuwa anapigwa vita sehemu nyingi lakin management yake ya WCB ikapambana Sana lakini ndio msanii waliobrand kwa uzito mkubwa kuliko wasanii wengine wa WCB alafu Leo unaongea upuuzi Kama huu wewe subiri muda utaongea.
Hahahahahahahahah Wewe jamaa unapenda kujibu hoja za watu,tatizo uwezo wa kujibu hizo hoja ndio huna.na Diamond alikuwa anajua
Au baba swaleheWCB wamespend sana kwa harmonize...na hamornize hakuingiza hela??
wali mbrabd sana mtu ambaye hana faida wala kipaji?
wambrand harmorapa basi au liquid
Kwa nini unatusema waganga ?Huku jf kuna kila aina ya watu mkuu usishangae hata wanao mjadili hata ya dogo ni watu wake wa karibu, kuna watu wanakusoma soikolojia na wanajua hatma yako.... Kuna waganga humu
Kumbe mwaka huuMbona ndio mwenye nyimbo nyingi mwaka huu zaidi ya wasanii wote wa wasafi?
Hivi kwanini suala la msanii kufika mbali mnalihusisha sana na kuhama label?! Kwanini suala la msanii kukua mnalihusisha na kuhama label?!Ukweli ni kuwa tunahitaji watu wengi sana walio kama Diamond Platnumz na Harmonize. Industry ya Muziki wa Bongo Flavour inawahitaji kwa wingi, ili iweze kustawi na kukua.
Hivyo, Harmonize hana budi kuondoka na kujitegemea, Kama sio leo basi kesho. Lakini, ni ubinadamu wa kawaida kabisa kuondoka kwa ustaarabu kwa watu waliokusaidia, umekuwa nao kwa muda mrefu na mmefanya nao mambo mengi
Naunga mkono hojaUkweli ni kuwa tunahitaji watu wengi sana walio kama Diamond Platnumz na Harmonize. Industry ya Muziki wa Bongo Flavour inawahitaji kwa wingi, ili iweze kustawi na kukua.
Hivyo, Harmonize hana budi kuondoka na kujitegemea, Kama sio leo basi kesho. Lakini, ni ubinadamu wa kawaida kabisa kuondoka kwa ustaarabu kwa watu waliokusaidia, umekuwa nao kwa muda mrefu na mmefanya nao mambo mengi.
Unapoaga na kuondoka kistaarabu na kila mtu akiwa na amani na wewe, inakusaidia; kwanza, kukaribishwa tena hata ikitokea ukakwama huko uendako na pili, utaweza kushirikiana nao vizuri hata baada ya kuwa umeshaondoka.
Umoja ni nguvu. Harmonize aendelee tu kushirikiana na WCB hata baada ya kuondoka, kama atafanya hivyo. Itamsaidia sana kukua kwa haraka.
Hakuna haja ya kuondoka kwa vurugu na vita, otherwise iwe ni kutafuta kiki.
Amefanya sahihi, kila mtu ana maono tofauti, muda wa kukaa WCB umetosha.. Ili tupate gemu nyingine kwa viwango vingine.. Tatizo la watanzania ni woga wa kudumu. Bora Harmo, ameonyesha njia... Utasikikia kila siku humu, mtu akitaka kujitegemea kwa kuacha kazi anapewa support. Basi na Harmo apewe support hiyo... Nenda Harpo, Maono mapya, Maisha mapya.Kuondoka kwa harmonize ni fundisho kubwa Sana kwa WCB... Viongozi wa WCB walikuwa wakimbania sana Harmonize ili asimzidi Boss wake Diamond hadi wanaanza kuzibana ngoma zake wakati tetema imetoka. Dogo anangoma nyingi na kolabo kibao. Bora umetoka uongozi mchafu ni majanga.
Umesema vema sana Mkuu, ushauri murua sana kwenye biashara ya muziki. I hope watapita hapa kusoma.Harmonize angekuwa mjanja asingetoka WCB moja kwa moja bali angeangalia uwezekano wa kubadili mkataba wake kutoka kuwa msanii wa WCB na kuingia publishing contract! Kwamba, kazi zake zote anazifanya kwenye studio yake lakini publishing rights anawapa WCB na hivyo kuendelea ku-capitalize influence ya WCB! Kwenye hiyo studio yake au label, angeweza kusaini hata wasanii wengine ambao nao akatoa publishing rights kwa WCB; kwa sababu, mtake msitake, pale WCB kuna watu wanaoifahamu vema music industry!!!
Nipo nimekuwa mpenzi msomaji.Ulipotea mkuu
Kwa mwaka huu tu Harmonize katoa EP yake ya AFRO BONGO yenye ngoma 4 tena ndani yake amewashirikisha wasanii wakubwa Burna boy, Mr Eiz, Yemi alade na Platnumz, pia akatoa Never give up, katoa Remix na qchilla #myboo na zingine nilizo zisahauKuondoka kwa harmonize ni fundisho kubwa Sana kwa WCB... Viongozi wa WCB walikuwa wakimbania sana Harmonize ili asimzidi Boss wake Diamond hadi wanaanza kuzibana ngoma zake wakati tetema imetoka. Dogo anangoma nyingi na kolabo kibao. Bora umetoka uongozi mchafu ni majanga.
Kwa mwaka huu tu Harmonize katoa EP yake ya AFRO BONGO yenye ngoma 4 tena ndani yake amewashirikisha wasanii wakubwa Burna boy, Mr Eiz, Yemi alade na Platnumz, pia akatoa Never give up, katoa Remix na qchilla #myboo na zingine nilizo zisahau
Rayvanny katoa Tetema, na Girlfriend tu
Then unakuja kusema anabaniwa kutoa nyimbo SERIOUSLY?? Yaan wewe ndiyo waku valia njuga kwamba jamaa aondoke WCB wakati hata ABC yake huijui
Ayseeee!! Na Kama type ya mashabiki wake ni Kama wewe Nampa mwaka mmoja tu kwenye game
TRUE! Mtu wala ahitaji macho matatu kuona kati ya wasanii WOTE walisainiwa WCB, ni Harmonize ndie alikuwa anapendelewa zaidi hasa linapokuja suala la utoaji ngoma na collabo! Tena nadhani, ukihesabu kuanzia pale alipoingia, unaweza kukuta yeye ndie katoa ngoma nyingi zaidi pengine kuzidi hata Diamond; halafu anakuja mtu anadai eti alikuwa anabaniwa!!!Nadhani ni bora hata Rayvan anaweza kulalamika maana yeye collabo zake ni Diamond tu,chache sana za wasanii wakubwa wa nje kuliko Harmonize.
Rayvanny naye ajipange kusimama mwenyewe la sivyo atakuja kubwagiwa mabegi umuhimu wake wa kuwatungia mashairi utapoisha!Ukweli ni kuwa tunahitaji watu wengi sana walio kama Diamond Platnumz na Harmonize. Industry ya Muziki wa Bongo Flavour inawahitaji kwa wingi, ili iweze kustawi na kukua.
Hivyo, Harmonize hana budi kuondoka na kujitegemea, Kama sio leo basi kesho. Lakini, ni ubinadamu wa kawaida kabisa kuondoka kwa ustaarabu kwa watu waliokusaidia, umekuwa nao kwa muda mrefu na mmefanya nao mambo mengi.
Unapoaga na kuondoka kistaarabu na kila mtu akiwa na amani na wewe, inakusaidia; kwanza, kukaribishwa tena hata ikitokea ukakwama huko uendako na pili, utaweza kushirikiana nao vizuri hata baada ya kuwa umeshaondoka.
Umoja ni nguvu. Harmonize aendelee tu kushirikiana na WCB hata baada ya kuondoka, kama atafanya hivyo. Itamsaidia sana kukua kwa haraka.
Hakuna haja ya kuondoka kwa vurugu na vita, otherwise iwe ni kutafuta kiki.