SOFTWARE Funga GPS kwenye magari, pikipiki yako na komesha wizi

JE GARI AU PIKIPIKI YAKO IIMEFUNGWA KIFAA CHA GPS?

  • Total voters
    6
Joined
May 4, 2020
Posts
22
Reaction score
9
Habari Wadau wa Jamii Forum,

Nimeanzisha biashara ya usalama wa vyombo vya moto kupitia GPS na ninahitaji support yenu.

Kama mnavofahamu, biashara katika sector ya usafiri imepamba moto nchini.Lakini palipo na biashara hapakosi changamoto. Wizi wa vyombo vya usafiri kama Pikipiki, Bajaji magari umekithiri kama biashara yenyewe.

Kama KITAU TRANSPORT tunakupa huduma ya GPS kwenye chombo chako. Kwa kutumia GPS yetu utaweza kufatilia mwenendo wa kifaa/vifaa vyako vya moto masaa 24 kwenye simu yako.
ok.png

Utaweza ona:
Location (mahali chombo kilipo)
Displacement (Mwendo na mwelekeo wa chombo chako kama kina tembea)
Geo frencing (Kama kimetoka eneo unalohitaji kiwepo)
GPS zetu ni water proof. Unaweza tumia wakati wa mvua bila wasiwsi wa kuingia maji au kuharibia.

Malipo ni shillingi Elfu kumi kwa mwezi (10,000 TSh) kwa bajaji na Pikipiki na Elfu Kumi na Tano (15,000 Tsh) kwa magari ya aina yoyote.

Kwa mwezi wa kwanza kuna malipo ya shillingi Elfu kumi na tano (15,000) kwa ajili ya usajiri.
Malipo yote yatafanyika baada ya kukufungia gps yako.

Tunapatika Dar-es-Slaam kwa number zifuatazo.
+255 754 711 783
+255 713 647 016
+255 742 166 415

Unaweza kutufuata na ku like kwenye page yetu ya facebook
 
Kama KITAU TRANSPORT tunakupa huduma ya gps kwenye chombo chako. Kwa kutumia GPS yetu utaweza kufatilia mwenendo wa kifaa/vifaa vyako vya moto masaa 24 kwenye simu yako.
2388880_ok.png

Utaweza ona:
Location (mahali chombo kilipo)
Displacement (Mwendo na mwelekeo wa chombo chako kama kina tembea)
Geo frencing (Kama kimetoka eneo unalohitaji kiwepo)
GPS zetu ni water proof. Unaweza tumia wakati wa mvua bila wasiwsi wa kuingia maji au kuharibia.

Malipo ni shillingi Elfu kumi kwa mwezi (10,000 TSh) kwa bajaji na Pikipiki na Elfu Kumi na Tano (15,000 Tsh) kwa magari ya aina yoyote.

Kwa mwezi wa kwanza kuna malipo ya shillingi Elfu kumi na tano (15,000) kwa ajili ya usajiri.
Malipo yote yatafanyika baada ya kukufungia gps yako.

Tunapatika Dar-es-Slaam kwa number zifuatazo.
+255 754 711 783
+255 713 647 016
+255 742 166 415

Unaweza kutufuata na ku like kwenye page yetu ya facebook
 
Habari Wadau wa Jamii Forum,

Nimeanzisha biashara ya usalama wa vyombo vya moto kupitia GPS na ninahitaji support yenu.

Kama mnavofahamu, biashara katika sector ya usafiri imepamba moto nchini.Lakini palipo na biashara hapakosi changamoto. Wizi wa vyombo vya usafiri kama Pikipiki, Bajaji magari umekithiri kama biashara yenyewe.

Kama KITAU TRANSPORT tunakupa huduma ya GPS kwenye chombo chako. Kwa kutumia GPS yetu utaweza kufatilia mwenendo wa kifaa/vifaa vyako vya moto masaa 24 kwenye simu yako.
View attachment 1439524

Baada ya muda gani hicho kifaa kinakuwa mali yangu jumla??
 
Kwanini kisiwe cha mteja milele?
Vifaa vya gps vinatumia Line ya simu na Internet. Tunaweza kukuuzia kifaa (laki 250,000 pamoja na instalation) lakini bado utahitaji kuwa na Simcard zako binafsi na utahitaji kurecharge simcard yako kila mwezi ili uweze kuwa na internet. Kila mwisho wa mwaka utalipishwa ( USD 10). na kampuni inayokupa software. Sio wafanyabiashara wote hasa wadogo wadogo wa pikipiki wanaweza mudu hizi gharama.

Huduma tunayoitoa inalipia gharama zote. Internet pamoja na software vyote vimejumuishwa ndani. Hakuna malipo mengine zaidi ya malipo ya mwezi.
 
Habari Wadau wa Jamii Forum,

Nimeanzisha biashara ya usalama wa vyombo vya moto kupitia GPS na ninahitaji support yenu.

Kama mnavofahamu, biashara katika sector ya usafiri imepamba moto nchini.Lakini palipo na biashara hapakosi changamoto. Wizi wa vyombo vya usafiri kama Pikipiki, Bajaji magari umekithiri kama biashara yenyewe.

Kama KITAU TRANSPORT tunakupa huduma ya GPS kwenye chombo chako. Kwa kutumia GPS yetu utaweza kufatilia mwenendo wa kifaa/vifaa vyako vya moto masaa 24 kwenye simu yako.
View attachment 1439524

Utaweza ona:
Location (mahali chombo kilipo)
Displacement (Mwendo na mwelekeo wa chombo chako kama kina tembea)
Geo frencing (Kama kimetoka eneo unalohitaji kiwepo)
GPS zetu ni water proof. Unaweza tumia wakati wa mvua bila wasiwsi wa kuingia maji au kuharibia.

Malipo ni shillingi Elfu kumi kwa mwezi (10,000 TSh) kwa bajaji na Pikipiki na Elfu Kumi na Tano (15,000 Tsh) kwa magari ya aina yoyote.

Kwa mwezi wa kwanza kuna malipo ya shillingi Elfu kumi na tano (15,000) kwa ajili ya usajiri.
Malipo yote yatafanyika baada ya kukufungia gps yako.

Tunapatika Dar-es-Slaam kwa number zifuatazo.
+255 754 711 783
+255 713 647 016
+255 742 166 415

Unaweza kutufuata na ku like kwenye page yetu ya facebook
Vipi kuhusu vyombo vya majini hii inaweza kufanyika?
 
Kama nipo mbali mnaweza kuja kunifungia? Nauli ni juu yenu.
Ninahitajika niwevitu gani ili kukamilisha/kupatiwa huduma.
 
Unapatikana sehemu gani? Kwa Dar es Salaam popote tunakuja siku hiyo hiyo. KKwa mikoani tutatafuta utaratibu mwingine.
Hauhitaji chochote zaidi yamkataba tutakaotia sign.
Malipo yanafanyika kwa njia ya simu na yatafanyika tu pale tutakapomaliza kukufungia na ukaridhika kinafanyakazi.
 
Back
Top Bottom