Riskytaker JF-Expert Member Joined Mar 14, 2024 Posts 568 Reaction score 2,522 Jun 25, 2024 #1 watanzania mbafunga maduka mnabaki nyumbani kulia lia kwa mitandao. funga duka zama barabarani pigaa kelele mixer fujo isio umiza na mabango juu kufikishaa ujumbe kwaa uzito.
watanzania mbafunga maduka mnabaki nyumbani kulia lia kwa mitandao. funga duka zama barabarani pigaa kelele mixer fujo isio umiza na mabango juu kufikishaa ujumbe kwaa uzito.
C Covax JF-Expert Member Joined Feb 15, 2021 Posts 10,198 Reaction score 35,323 Jun 25, 2024 #2 Riskytaker said: watanzania mbafunga maduka mnabaki nyumbani kulia lia kwa mitandao. funga duka zama barabarani pigaa kelele mixer fujo isio umiza na mabango juu kufikishaa ujumbe kwaa uzito. Click to expand... Hatuja pata kero na maumivu ya kutosha kutuingiza barabarani.
Riskytaker said: watanzania mbafunga maduka mnabaki nyumbani kulia lia kwa mitandao. funga duka zama barabarani pigaa kelele mixer fujo isio umiza na mabango juu kufikishaa ujumbe kwaa uzito. Click to expand... Hatuja pata kero na maumivu ya kutosha kutuingiza barabarani.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Jun 25, 2024 #3 Riskytaker said: watanzania mbafunga maduka mnabaki nyumbani kulia lia kwa mitandao. funga duka zama barabarani pigaa kelele mixer fujo isio umiza na mabango juu kufikishaa ujumbe kwaa uzito. Click to expand... Wewe utakuwa ni policcm bila shaka. Nahisi umeumia sana kwa kukosa kaizi ya kwenda kupiga watu hovyo barabarani na kupora mali zao kwa kisingizio cha kuzuia maandamano.
Riskytaker said: watanzania mbafunga maduka mnabaki nyumbani kulia lia kwa mitandao. funga duka zama barabarani pigaa kelele mixer fujo isio umiza na mabango juu kufikishaa ujumbe kwaa uzito. Click to expand... Wewe utakuwa ni policcm bila shaka. Nahisi umeumia sana kwa kukosa kaizi ya kwenda kupiga watu hovyo barabarani na kupora mali zao kwa kisingizio cha kuzuia maandamano.