Funga mwaka na KING KIBA VIP 400,000/=(laki nne)

playboy babu

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2015
Posts
2,648
Reaction score
1,566
But kuna watu wanasema jamaa kwisha, hajui Kuimba, anawezaje kuandaa shoo yenye kiingilio hiko? But kati ya hao wanaombeza waliwahi kumuomba ashiriki kwenye shoo yao akachomoa.

Ifike mahala huyu jamaa apewe heshima yake tu, more Than 10 yrs kwenye industry and still he is on top msanii gani intake ya Kina ALLY anaweza kupiga show ya gharama hiyo kwa sasa? Au hata hawa wapo waliomkuta ALLY kwenye game tayari? ALLY nakuvulia kofia ALLY you are #realKing...
 

Attachments

  • Screenshot_20181227-013229.png
    139.8 KB · Views: 64
Laki 4 VIP (meza ya watu 8) ni 50,000 per person. Mbona kawaida tu? Halaf ni kweli bwana sikuhizi anaboronga, nyimbo zake sio nzuri km zamani, anatu disappoint baadhi ya mashabiki zake... Alirudi vizuri na "MWANA", "Chekecha", " Rupela", naona nyimbo yake ya mwisho kwa uzuri ni Seduce me..
 
Jan kodi,watoto Ada za shule.Mesa ya watu 8 mnalipa laki 4 na unapewa mo energy????Hapa walengwa ni wagonjwa,bodaboda,madereva wa daladala,kondakta,madereva wa Malory na wale wanaojiuza maana usiku mzima anadanga asubuhi anakunywa mo ili muwe sawa.!!!!!!!!?
 
Wewe ndo unasema 50@ bt posterz zinasema 4k kwa vip kaka.
 
Naomba kufahamu mofaya zinapatikana wapi. Nahitaji kuonja
nenda kwa show that day kuna kunguru Watakuja hapa kusema mbaya Haina ladha hao ni jamii ya watu Wanaosumbuliw na ugonjwa hatari unaoitwa KIBAFEVER.. hao kiba hata akipiga chafya watakosoa "hawezi kupiga chafya yule hata sombo anamshinda " jaman ugonjwa huo dawa yake ipooooo
 
Siy
Siyo wote wana watoto,siyo wote wanasomesha na siyo wote wana pesa za mawazo kama zako....kaributena.
 
Hahahah
Hahahahahahaaaa na seduce ilipotoka mlisema mbaya na bwana cha matusi akapost kicheko kwenye insta yake kisha akatoa nyimbo ina watu kumi sijui wana mawigi hahahahaaaaa wakakimbizwa hadi wakasema poooh ndo mkajua kumbe nyimbo nzuriiiiii so sishangai next tym utasema nyimbo yake nzuri Ilikuwa "KADOGO"
 
Siwezi kwenda kwenye show mkuu, Mimi nafurahia mziki nyumbani. Kweli nahitaji kuonja hiki kinywaji, haijulikani lini kitaanza kuuzwa.
 
Sikuzote ukweli unauma!! Uliniona wakat nasema seduce me ni mbaya? Hebu soma vizuri comment yangu.. Nimekwambia anatuangusha "Baadhi ya mashabiki zake" it clearly means I'm a kiba fan! Nimeanza kumshabikia tokea nyimbo yake ya Njiwa, Nakshinakshi mrembo, sijaanza kumshabikia leo wala Juzi, na ni kweli anaboronga sikuhizi nyimbo zake sio km zamani! Ukimpenda mtu mwambie ukweli ajirekebishe na kufanya vizuri na sio kumpa kichwa hata anapovuruga. kwahio kama ww bado unaona anatoa nyimbo nzuri huo ni upande wako ww... Ndio mana sija include mashabiki wote wa kiba, nimesema anatu disapoint "baadhi" tu ya mashabiki inluding my self. Have a nice day!
 
Gharama ipi unaongelea? hiyo Elfu 15 kwa kichwa au laki 4 meza ya watu 8 (50,000 kila mtu)!?
Hapo chacha!![emoji1] nimemwambia laki 4 kwa meza = 50,000 per person akakataa, anasema eti mm ndo nasema hivo ila poster inasema laki 4[emoji23][emoji23][emoji23]. Analeta ushabiki maandazi [emoji23][emoji23]
 
Hapo chacha!![emoji1] nimemwambia laki 4 kwa meza = 50,000 per person akakataa, anasema eti mm ndo nasema hivo ila poster inasema laki 4[emoji23][emoji23][emoji23]. Analeta ushabiki maandazi [emoji23][emoji23]
Hakuna team Kiba wa kike mwenye muandiko kama huo, eti wanasema wamekukataa... lol
Hebu nifundishe ww kureply kama mwanamke [emoji4]
Ukiwa mwanamke mbona utajua tu kuandika ki kike, sidhani kama kuna tuition ya kua mwanamke....[emoji38][emoji38]
 
Wacha vijana wapambane kuzisaka pesa to the infinity, huku AliKiba funga mwaka kule Wasafi festival💪💪💪
Btw 400,000÷8=50,000.00
Kwahiyo gharama za VIP Mtu 1 =50,000.00TShs.
Kwa nyakati hizi za anko Magu 50,000.00 ni hela ndefu pia
 
Kiukweli Kiba kwishney umebakia ushabiki tu na mapenzi kwa mtu Fulani 😂😂😂 ila kiukweli habari ya tz sasa hivi ........MCHEZO HUU HUSIUCHEZEE WEEE

Kimtazamo Kabisa niache unafiki KIBA umebaki ushabiki ni sawa na wale watu wanaosemaga ukimuweka Fulani na Jiwe nitachagua jiwe ila ukweli wanao moyoni
 
Pesa zipo mifukoni mwa watu
 
Tatizo mnakosea sanaa kuchAnganya radha ya music wa wasafi na king music... Hapo kuna midundiko ya nigeria.. na bongo l fleva... Lazima ujue kutofautisha... Hapo unajipembua wapi unataka uwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…