Funga mwaka na KING KIBA VIP 400,000/=(laki nne)

Funga mwaka na KING KIBA VIP 400,000/=(laki nne)

Gharama ipi unaongelea? hiyo Elfu 15 kwa kichwa au laki 4 meza ya watu 8 (50,000 kila mtu)!?
We kwa akili ya kawaida unahisi nazungumzia gharama ipi? Bando za ofa zinatabu tuzo point nn?
 
Ny
Sikuzote ukweli unauma!! Uliniona wakat nasema seduce me ni mbaya? Hebu soma vizuri comment yangu.. Nimekwambia anatuangusha "Baadhi ya mashabiki zake" it clearly means I'm a kiba fan! Nimeanza kumshabikia tokea nyimbo yake ya Njiwa, Nakshinakshi mrembo, sijaanza kumshabikia leo wala Juzi, na ni kweli anaboronga sikuhizi nyimbo zake sio km zamani! Ukimpenda mtu mwambie ukweli ajirekebishe na kufanya vizuri na sio kumpa kichwa hata anapovuruga. kwahio kama ww bado unaona anatoa nyimbo nzuri huo ni upande wako ww... Ndio mana sija include mashabiki wote wa kiba, nimesema anatu disapoint "baadhi" tu ya mashabiki inluding my self. Have a nice day!
Nyanyuka kimbia we mtu anakudis appoint bado unamshabikia tu? Utakuwa umerogwa bas.. E bwana sisi inshort tunaenjoy shida tunataka afanye kama fulani haipo hiyo mzee hamia panapofaa usije kufa bure.
 
Hapo chacha!![emoji1] nimemwambia laki 4 kwa meza = 50,000 per person akakataa, anasema eti mm ndo nasema hivo ila poster inasema laki 4[emoji23][emoji23][emoji23]. Analeta ushabiki maandazi [emoji23][emoji23]
Ww unaleta hesabu zako ambazo hazijatajwa mahali popote imeandikwa vip kwa meza ya watu 8 ni 400000/= na si Lazima muende 8 mfano ukaenda peke yako na ukabook hiyo meza utalipia 50?..mkihitaj watu watatu je?..elewa Ulichoambiwa usijitie ujuzi mwiiiiiingi afu ukapuyanga
 
Kiukweli Kiba kwishney umebakia ushabiki tu na mapenzi kwa mtu Fulani 😂😂😂 ila kiukweli habari ya tz sasa hivi ........MCHEZO HUU HUSIUCHEZEE WEEE

Kimtazamo Kabisa niache unafiki KIBA umebaki ushabiki ni sawa na wale watu wanaosemaga ukimuweka Fulani na Jiwe nitachagua jiwe ila ukweli wanao moyoni
Jipe moyo utashinda.
 
Jan kodi,watoto Ada za shule.Mesa ya watu 8 mnalipa laki 4 na unapewa mo energy????Hapa walengwa ni wagonjwa,bodaboda,madereva wa daladala,kondakta,madereva wa Malory na wale wanaojiuza maana usiku mzima anadanga asubuhi anakunywa mo ili muwe sawa.!!!!!!!!?
Umeandika kwa masikitiko sana. Nakushaurinenda na hii kanuni yangu "Sio kila kilicho mbele yangu kinanihusu" Maisha utayaona simpo sana.
 
Sitaacha kusema Ukweli Kuwa Alikiba Umebakia Ushabiki tu yani time yake imepita wee bisha tu ila moyoni inakuchoma 😂😂😂
 
Sitaacha kusema Ukweli Kuwa Alikiba Umebakia Ushabiki tu yani time yake imepita wee bisha tu ila moyoni inakuchoma [emoji23][emoji23][emoji23]
Injinia Soma hiyoooo
Screenshot_2018-12-29-15-16-03.jpeg
 
Injinia ngapi hukooo
Kiukweli Kiba kwishney umebakia ushabiki tu na mapenzi kwa mtu Fulani [emoji23][emoji23][emoji23] ila kiukweli habari ya tz sasa hivi ........MCHEZO HUU HUSIUCHEZEE WEEE

Kimtazamo Kabisa niache unafiki KIBA umebaki ushabiki ni sawa na wale watu wanaosemaga ukimuweka Fulani na Jiwe nitachagua jiwe ila ukweli wanao moyoni
Screenshot_2018-12-29-15-16-03.jpeg
 
Back
Top Bottom