Funga mwaka na KING KIBA VIP 400,000/=(laki nne)

Funga mwaka na KING KIBA VIP 400,000/=(laki nne)

Hiyo show itakua ya kifala haijawai tokea!Hiyo laki 4 bora mkajipasue bar tu!
Unafiki mbaya sana unafikiri usipinunua wewe wengine hawatanunua
Kwanza show kama hizi sio saizi yako wewe subiri show za jero jero, na steji zisizo na kiwango.

Soma hiyoooo
Screenshot_2018-12-29-15-16-03.jpeg
 
Kiukweli Kiba kwishney umebakia ushabiki tu na mapenzi kwa mtu Fulani 😂😂😂 ila kiukweli habari ya tz sasa hivi ........MCHEZO HUU HUSIUCHEZEE WEEE

Kimtazamo Kabisa niache unafiki KIBA umebaki ushabiki ni sawa na wale watu wanaosemaga ukimuweka Fulani na Jiwe nitachagua jiwe ila ukweli wanao moyoni
Wewe endelea kupapasa kichwa cha Jusi kafiri ili likusafishe mtaro na kwa taarifa Yako tickets za VIP zimeshakua sold out
 
But kuna watu wanasema jamaa kwisha, hajui Kuimba, anawezaje kuandaa shoo yenye kiingilio hiko? But kati ya hao wanaombeza waliwahi kumuomba ashiriki kwenye shoo yao akachomoa
unajua hesabu wewe?
hapo maana yake kiingilip ni 50,000
Diamonds are forever kiingilio cha chini kwa mtu ni laki
 
Hata hizo laki 4 unilipe mimi, siwezi kwenda.
 
unajua hesabu wewe?
hapo maana yake kiingilip ni 50,000
Diamonds are forever kiingilio cha chini kwa mtu ni laki
Na mnataka muweke hesabu zenu za 50000 ili mjilinganishe na mvaa vikuku umeambiwa meza 4k na siyo lazima mkae 8 hata ukienda peke yako ukaamua Kuvimba poa tu Toa 4k tulia.
 
Hata ikiwa 5000 siwezi kwenda
5000 kuipata wiki hadi wiki hata me sikushauri kanunue unga upike ugali bwana huku kwenye show za malaki tuwaachie wa masaki sisi tusubiri za bei rahis za steji mbovu hahahahahaaa
 
Kwa hiyo itabidi mke na mume walipe laki8 siyo?
...okey naomba baada ya show ulete mrejesho hapa!
Mrejesho upi? Unadhani itabuma? Kwa msaada tu n kwamba vip zimeisha Hatuna Haja ya kupeana mrejesho show itakapoisha kaka.. Pole kunyw soda nkija nalipa.
 
But kuna watu wanasema jamaa kwisha, hajui Kuimba, anawezaje kuandaa shoo yenye kiingilio hiko? But kati ya hao wanaombeza waliwahi kumuomba ashiriki kwenye shoo yao akachomoa.

Ifike mahala huyu jamaa apewe heshima yake tu, more Than 10 yrs kwenye industry and still he is on top msanii gani intake ya Kina ALLY anaweza kupiga show ya gharama hiyo kwa sasa? Au hata hawa wapo waliomkuta ALLY kwenye game tayari? ALLY nakuvulia kofia ALLY you are #realKing...
Hamna kitu hapo kwani kuna msanii au ujinga tu
 
Laki 4 VIP (meza ya watu 8) ni 50,000 per person. Mbona kawaida tu? Halaf ni kweli bwana sikuhizi anaboronga, nyimbo zake sio nzuri km zamani, anatu disappoint baadhi ya mashabiki zake... Alirudi vizuri na "MWANA", "Chekecha", " Rupela", naona nyimbo yake ya mwisho kwa uzuri ni Seduce me..
Amezeeeka miaka 38 so haba
 
Back
Top Bottom