playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,648
- 1,566
- Thread starter
-
- #21
OkSiwezi kwenda kwenye show mkuu, Mimi nafurahia mziki nyumbani. Kweli nahitaji kuonja hiki kinywaji, haijulikani lini kitaanza kuuzwa.
We kwa akili ya kawaida unahisi nazungumzia gharama ipi? Bando za ofa zinatabu tuzo point nn?Gharama ipi unaongelea? hiyo Elfu 15 kwa kichwa au laki 4 meza ya watu 8 (50,000 kila mtu)!?
Nyanyuka kimbia we mtu anakudis appoint bado unamshabikia tu? Utakuwa umerogwa bas.. E bwana sisi inshort tunaenjoy shida tunataka afanye kama fulani haipo hiyo mzee hamia panapofaa usije kufa bure.Sikuzote ukweli unauma!! Uliniona wakat nasema seduce me ni mbaya? Hebu soma vizuri comment yangu.. Nimekwambia anatuangusha "Baadhi ya mashabiki zake" it clearly means I'm a kiba fan! Nimeanza kumshabikia tokea nyimbo yake ya Njiwa, Nakshinakshi mrembo, sijaanza kumshabikia leo wala Juzi, na ni kweli anaboronga sikuhizi nyimbo zake sio km zamani! Ukimpenda mtu mwambie ukweli ajirekebishe na kufanya vizuri na sio kumpa kichwa hata anapovuruga. kwahio kama ww bado unaona anatoa nyimbo nzuri huo ni upande wako ww... Ndio mana sija include mashabiki wote wa kiba, nimesema anatu disapoint "baadhi" tu ya mashabiki inluding my self. Have a nice day!
Ww unaleta hesabu zako ambazo hazijatajwa mahali popote imeandikwa vip kwa meza ya watu 8 ni 400000/= na si Lazima muende 8 mfano ukaenda peke yako na ukabook hiyo meza utalipia 50?..mkihitaj watu watatu je?..elewa Ulichoambiwa usijitie ujuzi mwiiiiiingi afu ukapuyangaHapo chacha!![emoji1] nimemwambia laki 4 kwa meza = 50,000 per person akakataa, anasema eti mm ndo nasema hivo ila poster inasema laki 4[emoji23][emoji23][emoji23]. Analeta ushabiki maandazi [emoji23][emoji23]
Kaka ipo hiv unaeza enda mfano ww mke na jamaa wawili bt mkataka meza ya vip asa hapo sense ya 50per itakuja?Meza ya watu nane manake wanachanga au kugawana laki NNE kwa meza nzima
Ondoa hofu huku jukwaa haliporomoki ndugu show za kifala utakuta mtu anacheza jukwaani Ghafla hayupo hahahahaaaaa kumbe kadondokaHiyo show itakua ya kifala haijawai tokea!Hiyo laki 4 bora mkajipasue bar tu!
Jipe moyo utashinda.Kiukweli Kiba kwishney umebakia ushabiki tu na mapenzi kwa mtu Fulani πππ ila kiukweli habari ya tz sasa hivi ........MCHEZO HUU HUSIUCHEZEE WEEE
Kimtazamo Kabisa niache unafiki KIBA umebaki ushabiki ni sawa na wale watu wanaosemaga ukimuweka Fulani na Jiwe nitachagua jiwe ila ukweli wanao moyoni
Kwani remote zinatembea? 5000 nangwanda huko kiba haimbi singeli kaka hahahahaaaa...Hata ikiwa 5000 siwezi kwenda
Kwa hiyo itabidi mke na mume walipe laki8 siyo?Kaka ipo hiv unaeza enda mfano ww mke na jamaa wawili bt mkataka meza ya vip asa hapo sense ya 50per itakuja?
Mkuu ma VIP ndo tunakuambia ni kwa watu 8 mdogo wetu ,malizia mwakampya uingie form 5Wewe ndo unasema 50@ bt posterz zinasema 4k kwa vip kaka.
Umeandika kwa masikitiko sana. Nakushaurinenda na hii kanuni yangu "Sio kila kilicho mbele yangu kinanihusu" Maisha utayaona simpo sana.Jan kodi,watoto Ada za shule.Mesa ya watu 8 mnalipa laki 4 na unapewa mo energy????Hapa walengwa ni wagonjwa,bodaboda,madereva wa daladala,kondakta,madereva wa Malory na wale wanaojiuza maana usiku mzima anadanga asubuhi anakunywa mo ili muwe sawa.!!!!!!!!?
Akifanya show hawataki... asipofanya hawataki pia!! Sijui wanataka nini??
Ina mana toka siku zote hakipo sokoni bado? Promotion yote hiyo badoSiwezi kwenda kwenye show mkuu, Mimi nafurahia mziki nyumbani. Kweli nahitaji kuonja hiki kinywaji, haijulikani lini kitaanza kuuzwa.
Injinia Soma hiyooooSitaacha kusema Ukweli Kuwa Alikiba Umebakia Ushabiki tu yani time yake imepita wee bisha tu ila moyoni inakuchoma [emoji23][emoji23][emoji23]
Kiukweli Kiba kwishney umebakia ushabiki tu na mapenzi kwa mtu Fulani [emoji23][emoji23][emoji23] ila kiukweli habari ya tz sasa hivi ........MCHEZO HUU HUSIUCHEZEE WEEE
Kimtazamo Kabisa niache unafiki KIBA umebaki ushabiki ni sawa na wale watu wanaosemaga ukimuweka Fulani na Jiwe nitachagua jiwe ila ukweli wanao moyoni