Funga mwaka na KING KIBA VIP 400,000/=(laki nne)

Hiyo show itakua ya kifala haijawai tokea!Hiyo laki 4 bora mkajipasue bar tu!
Unafiki mbaya sana unafikiri usipinunua wewe wengine hawatanunua
Kwanza show kama hizi sio saizi yako wewe subiri show za jero jero, na steji zisizo na kiwango.

Soma hiyoooo
 
Wewe endelea kupapasa kichwa cha Jusi kafiri ili likusafishe mtaro na kwa taarifa Yako tickets za VIP zimeshakua sold out
 
But kuna watu wanasema jamaa kwisha, hajui Kuimba, anawezaje kuandaa shoo yenye kiingilio hiko? But kati ya hao wanaombeza waliwahi kumuomba ashiriki kwenye shoo yao akachomoa
unajua hesabu wewe?
hapo maana yake kiingilip ni 50,000
Diamonds are forever kiingilio cha chini kwa mtu ni laki
 
Hata hizo laki 4 unilipe mimi, siwezi kwenda.
 
unajua hesabu wewe?
hapo maana yake kiingilip ni 50,000
Diamonds are forever kiingilio cha chini kwa mtu ni laki
Na mnataka muweke hesabu zenu za 50000 ili mjilinganishe na mvaa vikuku umeambiwa meza 4k na siyo lazima mkae 8 hata ukienda peke yako ukaamua Kuvimba poa tu Toa 4k tulia.
 
Hata hizo laki 4 unilipe mimi, siwezi kwenda.
Tukupe laki nne afu unatupa nini? Au unatangaza biashara kijanja hahahahaaa michezo hiyo sisi hatuna bwana siyo mombasa Hapa.
 
Hata ikiwa 5000 siwezi kwenda
5000 kuipata wiki hadi wiki hata me sikushauri kanunue unga upike ugali bwana huku kwenye show za malaki tuwaachie wa masaki sisi tusubiri za bei rahis za steji mbovu hahahahahaaa
 
Kwa hiyo itabidi mke na mume walipe laki8 siyo?
...okey naomba baada ya show ulete mrejesho hapa!
Mrejesho upi? Unadhani itabuma? Kwa msaada tu n kwamba vip zimeisha Hatuna Haja ya kupeana mrejesho show itakapoisha kaka.. Pole kunyw soda nkija nalipa.
 
Tukupe laki nne afu unatupa nini? Au unatangaza biashara kijanja hahahahaaa michezo hiyo sisi hatuna bwana siyo mombasa Hapa.


Usinitafutie ban we matako. Nimefunguliwa juzi tu hapa kwahiyo usinisababishe.
 
Hamna kitu hapo kwani kuna msanii au ujinga tu
 
Amezeeeka miaka 38 so haba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…