Funga mwaka:Ni comment ipi hapa JF ilikufurahisha sana na ukiikumbuka huwa unatamani kucheka?

Funga mwaka:Ni comment ipi hapa JF ilikufurahisha sana na ukiikumbuka huwa unatamani kucheka?

Comment zote kutoka Kwa
Mo11
Badili Tabia
Kisu cha ngariba
Msaga SUMU
Erthycoyte
Wakudadavua
pagan
Lin
Mkwepa kodi pia
Peterchoka
 
"Shikamoo maji"
(baada ya ray kusema rangi yake nimatokeo ya kunywa maji mengi)
 
Mimi hii comment imenifurahisha mno aisee

Ni ipi ilikuwa comment iliyokufurahisha zaidi kwa mwaka huu?
Mkuu imagine unasoma miaka 3, 4, au 5 unaweza kuteleza ukapata GPA ya 3.4 semester ngumu na ukarekebisha semesters zinazokuja tatizo tunatumia vibaya ile miti maarufu Kama midegree kutwa kujadili siasa, Mapenzi na Starehe.
 
hahaaa sikumbuki ni nani,aliyesema mbona tunaisoma number 387345678
 
Mkuu imagine unasoma miaka 3, 4, au 5 unaweza kuteleza ukapata GPA ya 3.4 semester ngumu na ukarekebisha semesters zinazokuja tatizo tunatumia vibaya ile miti maarufu Kama midegree kutwa kujadili siasa, Mapenzi na Starehe.
Km ni kwel ulisoma udsm kwa unavyopataja mdegree bas ni dhahir kwamba wahadhir walikutafuna sana chin mpaka ukapata GPA kal
 
Sasa Betty na Hamisi ndiyo waliompa jina la John? Vipi John yeye hakuoa na kama aliona mke wake ni nani maana naona umeeleza kuwa alihodhi majike yote, hiyo ni kusema alikuwa John alikuwa mhuni? 》》》》》 hii imenichekesha sana by Yaleyale.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom