Pia kwa nini chai haipaliliwi mkaa kwa juu(moto juu ya mfuniko) kama ubwabwa.
Sasa miaka yote chuo unakua unafanya nini hadi GPA ya 3.8 inakushinda?
Nimegundua kuwa umegunduaMimi hii comment imenifurahisha mno aisee
Ni ipi ilikuwa comment iliyokufurahisha zaidi kwa mwaka huu?
Haaaaaa! Mwana jf mmoja alitoa comment hiyo kutokana na mwajamvi mwingine kusema amegungua kitu fulani. Nillipenda sanaNimegundua nini mkuu?
Mkuu imagine unasoma miaka 3, 4, au 5 unaweza kuteleza ukapata GPA ya 3.4 semester ngumu na ukarekebisha semesters zinazokuja tatizo tunatumia vibaya ile miti maarufu Kama midegree kutwa kujadili siasa, Mapenzi na Starehe.Mimi hii comment imenifurahisha mno aisee
Ni ipi ilikuwa comment iliyokufurahisha zaidi kwa mwaka huu?
Hii Kali.Kuna jamaa humu alicomment pumber, jamaa mmoja akam-quote, "UKO NA MBOWE??"
Km ni kwel ulisoma udsm kwa unavyopataja mdegree bas ni dhahir kwamba wahadhir walikutafuna sana chin mpaka ukapata GPA kalMkuu imagine unasoma miaka 3, 4, au 5 unaweza kuteleza ukapata GPA ya 3.4 semester ngumu na ukarekebisha semesters zinazokuja tatizo tunatumia vibaya ile miti maarufu Kama midegree kutwa kujadili siasa, Mapenzi na Starehe.
Jamaa alikuwa anaongelea mambo ya team akaulizwa team daraja la ngapi akajibu daraja la kigamboni.
habali zako za muhimbili tu nasijih kama ulipata mkopoMimi je?