Funga mwaka:Ni comment ipi hapa JF ilikufurahisha sana na ukiikumbuka huwa unatamani kucheka?

Kuna jamaa alicoment kwenye vichekesho kuwa, kuna siku akavuta bangi na kuchukuwa mwiko wa ugali na alipotoka nje akasimamisha gari ya police na kuwauliza mnatoka wap na mnakwenda wap?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna wakati joto la Dar lilikuwa kiboko mdau mmoja akasema joto hilo limemfanya Nyerere kuvua shati kwenye noti ya elfu moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…