Funga mwaka:Ni comment ipi hapa JF ilikufurahisha sana na ukiikumbuka huwa unatamani kucheka?

Funga mwaka:Ni comment ipi hapa JF ilikufurahisha sana na ukiikumbuka huwa unatamani kucheka?

Kuna jamaa alicoment kwenye vichekesho kuwa, kuna siku akavuta bangi na kuchukuwa mwiko wa ugali na alipotoka nje akasimamisha gari ya police na kuwauliza mnatoka wap na mnakwenda wap?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wakati joto la Dar lilikuwa kiboko mdau mmoja akasema joto hilo limemfanya Nyerere kuvua shati kwenye noti ya elfu moja
 
Ni kuhusu vichwa vya treni huyu member Daudi Mchambuzi kanivunja mbavu aisee
574eed6ebe8587bb23ae6fc1356ca200.jpg
 
Back
Top Bottom