Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Haszu anauliza , unazungumzia bikra ipi?
Acha wivu Babu, fungate tunakula na Bado tunaendelea kuinjoy makusudi akurushie mafoto nilimuambia nilimuambia makusudi tukurushe roho , kisa TU kukukatalia kuwa na wewe unakuja kulia huku jf , .
Kula paracetamol ulale Mzee, .
We zilipendwa tu
Utaendaje fungate na mwanamke anajua kila style ya kufinywa....?
Utaendaje fungate na mwanamke ambaye ndiye anakuwa wa kwanza kukuvua nguo...?
Utaendaje fungate na mwanamke anaejua kurudisha mkia ukitoka nje ya goli...?
Utaendaje fungate na mwanamke atakae kwambia yako ni ndogo ....?
maelekezo yasiwe mengi yote tumeyakuta duniani, kila mwanamke atazikwa na tundu lake..
kila mja anatafuta cha kumfurahisha..
ok basi hatuendi fungate, tunaenda kupumzika Ngorongoro siku 7 baada ya pilika pilika za harusi....
Sasa utulie Babu ndo nshaolewa hivyo ,hata kama ulivunja utepe lakini hiyo mbilimbi hapana halafu punguza wivu kijana.Sasa yeye ndio atameza kabisa ibrufen. Kunikatalia umenikatalia lakini bikira niliitoa. Na umeona mimi sio mwanaume bwege wa kuniendesha utakavyo. Umemchagua bro mzee wa mission impossible.
Mimi hizo mission impossible za hivyo nilishakataaga
Zile picha nyingine tutamrushia Leo ,ok basi hatuendi fungate, tunaenda kupumzika Ngorongoro siku 7 baada ya pilika pilika za harusi....
Asante asante dada leo umetufumbua macho.Sasa utulie Babu ndo nshaolewa hivyo ,hata kama ulivunja utepe lakini hiyo mbilimbi hapana halafu punguza wivu kijana.
Sasa utulie Babu ndo nshaolewa hivyo ,hata kama ulivunja utepe lakini hiyo mbilimbi hapana halafu punguza wivu kijana.
Nimemuachia maumivu makali sana ,atajutra na hivi tupo wote huku jf ni ngumu kunisahau.Asante asante dada leo umetufumbua macho.
Kumbe nyuzi huwa sio mafundisho ni malalamiko ya kuachwa yaliyojificha kwenye kujidai mwandishi.