camp konzi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 581
- 1,122
bwana mtibeli usipokua makini vyeo vyako vitashuka apa
Zile picha nyingine tutamrushia Leo ,
HAKIKA Leo hatokula
bwana mtibeli usipokua makini vyeo vyako vitashuka apa
Kazia hapo hapo hakuna kumpa mtu unafuu.Nimemuachia maumivu makali sana ,atajutra na hivi tupo wote huku jf ni ngumu kunisahau.
Kazia hapo hapo hakuna kumpa mtu unafuu.
akirusha kombola we litupe kwa drone limfikie hapo hapo alipo.
Aaaaaah!!!!!!!!Muone😄 Mnanipenda. Hamtaki kutulia. Kubalini iliisha
Kisa kumpiga TU chini anakuja Hadi kulia humu jf ,Kazia hapo hapo hakuna kumpa mtu unafuu.
akirusha kombola we litupe kwa drone limfikie hapo hapo alipo.
Nakazia 💯 👆👆Kama ni hivyo basi wote muwe "bikra"
Wanaume sisi tunapenda sana kujihesabia sana haki.
Wewe umeharibu weee mabinti za watu...
Kwenye kuoa unataka bikra.
Suala liko wazi mtu huvuna anachopanda.
Aaaaaah!!!!!!!!
Mie zile picha ulitupia uko na mwanamke niliziona,, nikiri tu wewe sio vitu vyangu kwenye mapenzi
Kisa kumpiga TU chini anakuja Hadi kulia humu jf ,
Mwanaume ana ubahili wa kipare ,
Nimekimbia mapema sana ,maana ningepauka kama yeye dada
Kwa ubahili huo na mbilimbi hiyo mwanamke Gani aje ajilize kwako.Hutokiri hadharani na ukweli wako unaujua.
Wanawake wote hata waliowahi kunifuata husema kama wewe. Lakini wakija chobingo wanajiliza kinyama wakitafuta rehema zangu. Alafu mimi sijali wala nini
Kama ni hivyo basi wote muwe "bikra"
Wanaume sisi tunapenda sana kujihesabia sana haki.
Wewe umeharibu weee mabinti za watu...
Kwenye kuoa unataka bikra.
Suala liko wazi mtu huvuna anachopanda.
Please mimi wewe ntakukausha damu na maji.Hutokiri hadharani na ukweli wako unaujua.
Wanawake wote hata waliowahi kunifuata husema kama wewe. Lakini wakija chobingo wanajiliza kinyama wakitafuta rehema zangu. Alafu mimi sijali wala nini
Kwa ubahili huo na mbilimbi hiyo mwanamke Gani aje ajilize kwako.
Umekosea njia mzee
Ulifanya vizuri mdogo wangu kukimbia laana ya umaskini...Kisa kumpiga TU chini anakuja Hadi kulia humu jf ,
Mwanaume ana ubahili wa kipare ,
Nimekimbia mapema sana ,maana ningepauka kama yeye dada
Please mimi wewe ntakukausha damu na maji.
Na ule ugonjwa wangu wa kupenda hela sasa halafu wewe na hizo torati zako ndio kabisa chui na paka.
Huko chobingo pistol hazitosaidia tutatiana viberiti wakute majivu tu.
sawa basi nadhani tutashuhudia mpambano mkali sana na kuvijua vingi vya silini. usikae kinyonge nawewe endelea kulusha makomboraVyeo vyangu sikupewa na mtu. Ninavyo mwenyewe.
Vile mlivyodhani mlinipa sikuwahi kuvivaa wala kuwa navyo.
Watibeli hatupewi vyeo. Tumezaliwa navyo. Ni vyetu. Hivyo vyenu mliodhani mmetupa hatukuwahi kuwa navyo.
sawa basi nadhani tutashuhudia mpambano mkali sana na kuvijua vingi vya silini. usikae kinyonge nawewe endelea kulusha makombora