Fungate (Honeymoon) ni kwa mwanamke uliyemkuta Bikira. Nje ya hapo ni bosheni. Hakuna chafungate hapo Bro

Fungate (Honeymoon) ni kwa mwanamke uliyemkuta Bikira. Nje ya hapo ni bosheni. Hakuna chafungate hapo Bro

Mimi mwenyewe sikutaki kwa sababu ni allergy mbaya na wanawake njaa kali, wapenda pesa, manyonyaji, na wanaotumikisha wanaume misukule.

Hutoweza nikausha kwa sababu kichwani bado battery charge iko full.

Wanawake types zangu wanajijua. Kwanza pesa kwao sio agenda kwani wanazo za kutosha
Tulia nao sasa hao na usilie lie sasa
 
Jibu swali mbn unapaniki mzee kuna sehemu nimesema nahitaji ndoa ??

Kupigwa kwako matukio kuishie huko huko utibelini sjui usangi

Humu twende kwenye hoja ya swali langu

Mbona nimekujibu tayari
. Unataka jibu gani?

Mtu akitumia fake ID, wewe jinsia yake unaitaka ya nini?
Kama anajitambulisha kama mwanamke kesho kama mwanaume jiongeze.

Fake ID ndio kazi zake.
 
FUNGATE (HONEYMOON) NI KWA MWANAMKE ULIYEMKUTA BIKIRA. NJE YA HAPO NI BOSHENI. HAKUNA CHAFUNGATE HAPO BRO.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Lengo langu sio kukukasirisha. Ila sipendi uongo wako uniletee mimi hapa. Kama umezoea kujidanganya ni wewe. Usiniletee uongo wako hapa.

Oooh! Bro nichangie pesa za fungate. Unajua nataka fungate yangu nikailie Ngorongoro. Bro embu kuwa serious kidogo.

Fungate gani?
Huyo demu wako aliyekuwa jamvi la mtaa leo ndio unasema unaenda kula naye Fungate. Hivi unaelewa unachokisema?

Fungate ipo kwa mwanamke uliyemkuta bikira. Kigali, mwari. Mtoto mbichi kabisa. Huyo ndiye analiwa fungate.

Unaenda kukata utepe. Kumfundisha vitu. Hajui chochote binti wa watu. Mtoto anahaya na aibu kama zote. Unaenda kufungua lock. Huyo ndiye unaenda kula fungate. Na nikuambie tuu. Fungate inaliwa sio chini ya siku saba. Unajua kwa nini?

Zipo sababu,
Sababu moja kuu ni kuwa binti bado ni bikira. Njia bado haijafunguliwa. Mgodi bado ni Virgin kabisa. Na bikira haitolewi siku moja. Hivyo siku zote hizo saba kazi itakuwa kufungua mgodi.

Sasa wewe binti ulishamkuta mgodi umevunwa karibu kila kitu. Unaenda kula fungate ya nini?

Binti Kameza ma p2 kama yote.
Katoa mimba kama zote.
Anawatoto. Unaenda fungate. Bro hivi kwenu mnawazazi kweli? Kwenu mnawazee kweli?
Unazijua mila kweli? Huko kwenu hamna wazee wa mila?
Utasema mila zimepitwa na Wakati. Sawa! Kama mila zimepitwa na wakati hiyo fungate nayo ungeachana nayo sasa maana nayo ni Mila na inakanuni zake.

Unaenda kula fungate na mwanamke ambaye siku moja kabla ya harusi yenu alienda kumuaga Ex wake. Zinakutosha kweli? Utasema hajaenda. Ushahidi huna. Utaniambia mimi mwenyewe Sina ushahidi. Sawa. Hivi Kuna ushahidi zaidi ya kutomkuta hana bikira ambayo hujui lini na wangapi walitangulia kabla yako? Really.

Ni mambo ya aibu. Na dunia haiishi maajabu. Sasa maajabu ya aibu kwa kweli yanashangaza sana.

Mwanamke uliyemkuta bikira ndiye unatakiwa ukale naye fungate. Fungate ni kwaajili ya kumfaidi. Kufungua mgodi. Kumfundisha style kwa vitendo.

Wewe upo fungate mwenzako anakulinganisha na waliokutangulia. Anamuwaza mwanaume aliyetamani kumuoa wewe unachekelea.
Fungate ni kwaajili ya wafanya ufunguzi. Watoaji wa bikira. Na sio kinyume na hapo.

Sitaki kukuumiza Bro. Lakini ukome kunisimulia ujinga wako. Sijui ulikuwa ngorongoro, mkaenda sijui Arusha Hotel na blah blah blah! Tafuta jina jingine Bro. Hiyo Haikuwa fungate bro. Nimeshakuchana. Kama ni ngumi usiniletee mimi. Pelekea hao wahuni waliokuzidi kete na mahesabu.

Alafu unanirushia picha zako. Nimezifuta zote na huna chakunifanya. Usiniletee ujinga wako hapa usije niambukiza tabia za kijinga hapa.

Nimemaliza.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Fungate ya nini ulishapakuliwa kwenye guest house huko? Ni geto moja kwa moja hamna kupoteza muda na kuharibu pesa
 
😄 🤣 😂 😆 😄
Badala ya kujibu tuhuma za Bushmamy naona unanijazia notice

Ila nashukuru kwa upendo wako. Usije sema sina shukrani Bibie.
Mambo ya pesa hayo tafuta Ngoshaz. Mbaya zaidi nao siku hizi wanaamka. Sijui mtapata wapi misukule yenu. Hata hivyo misukule inazaliwa kila kukicha. Msihofu
 
Mbona nimekujibu tayari
. Unataka jibu gani?

Mtu akitumia fake ID, wewe jinsia yake unaitaka ya nini?
Kama anajitambulisha kama mwanamke kesho kama mwanaume jiongeze.

Fake ID ndio kazi zake.
Hili ndilo jibu sasa ndiyo maana niliuliza vile itabid tukurudshe maguful hostel ukabebe zege kwanza uache kukalia wanawake shingoni ndg mtibeli
 
Ila nashukuru kwa upendo wako. Usije sema sina shukrani Bibie.
Mambo ya pesa hayo tafuta Ngoshaz. Mbaya zaidi nao siku hizi wanaamka. Sijui mtapata wapi misukule yenu. Hata hivyo misukule inazaliwa kila kukicha. Msihofu
Wanaume wenye pesa wapo kibao na wanahonga hiyo tuachie sisi.

Usitoke kwenye mada twende sawa na Bushmamy mtanange uendelee
 
Back
Top Bottom