camp konzi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 581
- 1,122
alaa basi sawa ngoja niagize kikombe cha mwisho cha gahawa ili niendelee kusalia apa apaHawa sio wageni kwangu. Sio wageni pia JF kwa hiyo wewe tulia tuu shuhudia kinachoendelea.
Kikawaida wanawake ni wajanja kuliko wanaume wengi. Hapa utajifunza tabia zao ambazo wanawafanyia wanaume wengi lakini kwangu wanajua fika haiwezekani. Wanajua hilo. Alafu nikuibie siri kwa ndani kabisa wanatamani kuzaa watoto wakiume wawe kama Mtibeli. Wasiwe kama hao wanaume misukule wanayoiendesha na kuitumikisha