Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 26,224
- 71,873
Taja mkoa,,,maelekezo yasiwe mengi yote tumeyakuta duniani, kila mwanamke atazikwa na tundu lake..
kila mja anatafuta cha kumfurahisha..

Naona umewasha moto 😀😀😀Nimefanyaje tena aaliyah
Na hatopata mwanamke huku nakwambia, labda BICHWA KOMWE - ndo wataendanaMuhimu wote wafike kileleni em tutokee hapa!
Yeye mwenyewe sio bikra halafu anaongelea habari za bikra..!!Na hatopata mwanamke huku nakwambia, labda BICHWA KOMWE - ndo wataendana
Kumbe na wewe unapenda mambo yetu?🤣🤣Huyo mpare mwenzio nimempiga na kitu kizito hataki Kuamini Hadi Sasa, ndoa nimefunga na fungate ndo tupo na Ba mzurii lakini haishi kunililia maana haamini
Wewe kama sio bikra kaa kwa utulivu, fungate tunaenda na wenye papa sealed🤣Yeye mwenyewe sio bikra halafu anaongelea habari za bikra..!!
Ana urefu wake mzuri TU na sura yake nzuri TU lakini hapana Jamani amenishindaYeye mwenyewe sio bikra halafu anaongelea habari za bikra..!!
Mwana kulifind siyo teh tehKayataka mwenyewe huyo, kwanini aje kumnanga jamaa yangu humu jf ,? Kisa kumtumia picha za fungate.
Ajaribu kutulia na kukubakiana na hali halisi
Vitu nivipendavyo 😹😹Sasa utulie Babu ndo nshaolewa hivyo ,hata kama ulivunja utepe lakini hiyo mbilimbi hapana halafu punguza wivu kijana.
Au nadabganya ndugu yangu😄 🤣 😂 😆
Na Kwa mwanaume aliye bikira inaitwaje?FUNGATE (HONEYMOON) NI KWA MWANAMKE ULIYEMKUTA BIKIRA. NJE YA HAPO NI BOSHENI. HAKUNA CHAFUNGATE HAPO BRO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Lengo langu sio kukukasirisha. Ila sipendi uongo wako uniletee mimi hapa. Kama umezoea kujidanganya ni wewe. Usiniletee uongo wako hapa.
Oooh! Bro nichangie pesa za fungate. Unajua nataka fungate yangu nikailie Ngorongoro. Bro embu kuwa serious kidogo.
Fungate gani?
Huyo demu wako aliyekuwa jamvi la mtaa leo ndio unasema unaenda kula naye Fungate. Hivi unaelewa unachokisema?
Fungate ipo kwa mwanamke uliyemkuta bikira. Kigali, mwari. Mtoto mbichi kabisa. Huyo ndiye analiwa fungate.
Unaenda kukata utepe. Kumfundisha vitu. Hajui chochote binti wa watu. Mtoto anahaya na aibu kama zote. Unaenda kufungua lock. Huyo ndiye unaenda kula fungate. Na nikuambie tuu. Fungate inaliwa sio chini ya siku saba. Unajua kwa nini?
Zipo sababu,
Sababu moja kuu ni kuwa binti bado ni bikira. Njia bado haijafunguliwa. Mgodi bado ni Virgin kabisa. Na bikira haitolewi siku moja. Hivyo siku zote hizo saba kazi itakuwa kufungua mgodi.
Sasa wewe binti ulishamkuta mgodi umevunwa karibu kila kitu. Unaenda kula fungate ya nini?
Binti Kameza ma p2 kama yote.
Katoa mimba kama zote.
Anawatoto. Unaenda fungate. Bro hivi kwenu mnawazazi kweli? Kwenu mnawazee kweli?
Unazijua mila kweli? Huko kwenu hamna wazee wa mila?
Utasema mila zimepitwa na Wakati. Sawa! Kama mila zimepitwa na wakati hiyo fungate nayo ungeachana nayo sasa maana nayo ni Mila na inakanuni zake.
Unaenda kula fungate na mwanamke ambaye siku moja kabla ya harusi yenu alienda kumuaga Ex wake. Zinakutosha kweli? Utasema hajaenda. Ushahidi huna. Utaniambia mimi mwenyewe Sina ushahidi. Sawa. Hivi Kuna ushahidi zaidi ya kutomkuta hana bikira ambayo hujui lini na wangapi walitangulia kabla yako? Really.
Ni mambo ya aibu. Na dunia haiishi maajabu. Sasa maajabu ya aibu kwa kweli yanashangaza sana.
Mwanamke uliyemkuta bikira ndiye unatakiwa ukale naye fungate. Fungate ni kwaajili ya kumfaidi. Kufungua mgodi. Kumfundisha style kwa vitendo.
Wewe upo fungate mwenzako anakulinganisha na waliokutangulia. Anamuwaza mwanaume aliyetamani kumuoa wewe unachekelea.
Fungate ni kwaajili ya wafanya ufunguzi. Watoaji wa bikira. Na sio kinyume na hapo.
Sitaki kukuumiza Bro. Lakini ukome kunisimulia ujinga wako. Sijui ulikuwa ngorongoro, mkaenda sijui Arusha Hotel na blah blah blah! Tafuta jina jingine Bro. Hiyo Haikuwa fungate bro. Nimeshakuchana. Kama ni ngumi usiniletee mimi. Pelekea hao wahuni waliokuzidi kete na mahesabu.
Alafu unanirushia picha zako. Nimezifuta zote na huna chakunifanya. Usiniletee ujinga wako hapa usije niambukiza tabia za kijinga hapa.
Nimemaliza.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Mtu anayelia tunamjua 😹Sasa yeye ndio atameza kabisa ibrufen. Kunikatalia umenikatalia lakini bikira niliitoa. Na umeona mimi sio mwanaume bwege wa kuniendesha utakavyo. Umemchagua bro mzee wa mission impossible.
Mimi hizo mission impossible za hivyo nilishakataaga
Hivi unaifahamu pili pili mbuzi? Basi pigia mstariVitu nivipendavyo 😹😹
Kumbe malalamiko yote ulimtosa huyo boya wa utebelini..!!
Kwahiyo ana kidole cha mtoto hakigusi kuta za kitumbua vizuri? 😹
Mtibeli jibu tuhuma hizi usikwepe 😹Gubu daily, nani anakutaka Mzee, urefu wa Bure lakini ndani kama mbilimbi TU ndo mana nkakupiga chini mapema sana
Mturushie na sie tuone mlivyodamshiZile picha nyingine tutamrushia Leo ,
HAKIKA Leo hatokula
FUNGATE (HONEYMOON) NI KWA MWANAMKE ULIYEMKUTA BIKIRA. NJE YA HAPO NI BOSHENI. HAKUNA CHAFUNGATE HAPO BRO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Lengo langu sio kukukasirisha. Ila sipendi uongo wako uniletee mimi hapa. Kama umezoea kujidanganya ni wewe. Usiniletee uongo wako hapa.
Oooh! Bro nichangie pesa za fungate. Unajua nataka fungate yangu nikailie Ngorongoro. Bro embu kuwa serious kidogo.
Fungate gani?
Huyo demu wako aliyekuwa jamvi la mtaa leo ndio unasema unaenda kula naye Fungate. Hivi unaelewa unachokisema?
Fungate ipo kwa mwanamke uliyemkuta bikira. Kigali, mwari. Mtoto mbichi kabisa. Huyo ndiye analiwa fungate.
Unaenda kukata utepe. Kumfundisha vitu. Hajui chochote binti wa watu. Mtoto anahaya na aibu kama zote. Unaenda kufungua lock. Huyo ndiye unaenda kula fungate. Na nikuambie tuu. Fungate inaliwa sio chini ya siku saba. Unajua kwa nini?
Zipo sababu,
Sababu moja kuu ni kuwa binti bado ni bikira. Njia bado haijafunguliwa. Mgodi bado ni Virgin kabisa. Na bikira haitolewi siku moja. Hivyo siku zote hizo saba kazi itakuwa kufungua mgodi.
Sasa wewe binti ulishamkuta mgodi umevunwa karibu kila kitu. Unaenda kula fungate ya nini?
Binti Kameza ma p2 kama yote.
Katoa mimba kama zote.
Anawatoto. Unaenda fungate. Bro hivi kwenu mnawazazi kweli? Kwenu mnawazee kweli?
Unazijua mila kweli? Huko kwenu hamna wazee wa mila?
Utasema mila zimepitwa na Wakati. Sawa! Kama mila zimepitwa na wakati hiyo fungate nayo ungeachana nayo sasa maana nayo ni Mila na inakanuni zake.
Unaenda kula fungate na mwanamke ambaye siku moja kabla ya harusi yenu alienda kumuaga Ex wake. Zinakutosha kweli? Utasema hajaenda. Ushahidi huna. Utaniambia mimi mwenyewe Sina ushahidi. Sawa. Hivi Kuna ushahidi zaidi ya kutomkuta hana bikira ambayo hujui lini na wangapi walitangulia kabla yako? Really.
Ni mambo ya aibu. Na dunia haiishi maajabu. Sasa maajabu ya aibu kwa kweli yanashangaza sana.
Mwanamke uliyemkuta bikira ndiye unatakiwa ukale naye fungate. Fungate ni kwaajili ya kumfaidi. Kufungua mgodi. Kumfundisha style kwa vitendo.
Wewe upo fungate mwenzako anakulinganisha na waliokutangulia. Anamuwaza mwanaume aliyetamani kumuoa wewe unachekelea.
Fungate ni kwaajili ya wafanya ufunguzi. Watoaji wa bikira. Na sio kinyume na hapo.
Sitaki kukuumiza Bro. Lakini ukome kunisimulia ujinga wako. Sijui ulikuwa ngorongoro, mkaenda sijui Arusha Hotel na blah blah blah! Tafuta jina jingine Bro. Hiyo Haikuwa fungate bro. Nimeshakuchana. Kama ni ngumi usiniletee mimi. Pelekea hao wahuni waliokuzidi kete na mahesabu.
Alafu unanirushia picha zako. Nimezifuta zote na huna chakunifanya. Usiniletee ujinga wako hapa usije niambukiza tabia za kijinga hapa.
Nimemaliza.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Angekua anakusumbua usingehangaika kumfungulia nyuzi za vijembe, hapa wewe ndo umegoma kumove on 😹😹😹Sina wivu.
Ila na wewe uache kunisumbua. Tulia na Bro. Mapenzi yetu yalishaisha. Endelea na maisha yako