Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Hahahaha alileta ubahili wa kipare hajui mwanamke matunzo au akishindwa atasaidiwa mpige milio mitatu kwa heshima 😅😆Napoteaje aisee wakati nipo fungate ngorongoro na jamaa nimemtumia picha za kutosha za breakfast 🥞 za leo Leo.
Yan Hadi hii fungate iishe lazima jamaa atapotea humu mazima