Fungate (Honeymoon) ni kwa mwanamke uliyemkuta Bikira. Nje ya hapo ni bosheni. Hakuna chafungate hapo Bro

Fungate (Honeymoon) ni kwa mwanamke uliyemkuta Bikira. Nje ya hapo ni bosheni. Hakuna chafungate hapo Bro

Nina rafiki yangu kafanikiwa sana kiuchumi na maarufu kiasi ila post zake mtandaoni ni kumkandia aliyekuwa mpenzi wake. Huyo dada kaolewa na jamaa wa kawaida sana kiuchumi yaani maisha bado hayajakaa sawa kifedha na yuko zake kimya na mumewe. Tinaomjua jamaa tunajua alimpenda sana bibie ila bibie hakuwa akimpenda na kuamua kusitisha mahusiano.

Inawezekana mwanaJF Robert Mtibeli anapitia hali kama ya rafiki yangu. Mtibeli nakushauri usiweke vinyongo. Kubali kuwa maishani kuna kuacha, kuachwa na kuachana.
 
Kisa kumpiga TU chini anakuja Hadi kulia humu jf ,
Mwanaume ana ubahili wa kipare ,
Nimekimbia mapema sana ,maana ningepauka kama yeye dada
Kunywa maji kwanza mamii 🥃
Pole kwa mikopo ya kausha damu mahi
Pole kwa kufanyiwa gubu
Pole kwa kupaushwa kama kitenge cha balozi wa nyumba kumi..!!

Haya endelea sasa kutoa dukuduku lako 😹
 
Mimi mwenyewe sikutaki kwa sababu ni allergy mbaya na wanawake njaa kali, wapenda pesa, manyonyaji, na wanaotumikisha wanaume misukule.

Hutoweza nikausha kwa sababu kichwani bado battery charge iko full.

Wanawake types zangu wanajijua. Kwanza pesa kwao sio agenda kwani wanazo za kutosha
Mbona umetembezewa vibuti vingi na wadada wa JF 😹😹
 
Aisee , unakumbuka mwaka Jana ulivyokuja Arusha , ukaniomba sana nisikuache, ulivoondoka TU unajua Nini kikiendelea Mzee?
Kumbe akiwa nje ya keyboard analilia kitomboua 😹😹😹
Mtibeli nyoko kweli, huku anawafundisha wenzie wakaze kumbe pemebeni analia kama mtoto..!!
 
Kayataka mwenyewe huyo, kwanini aje kumnanga jamaa yangu humu jf ,? Kisa kumtumia picha za fungate.
Ajaribu kutulia na kukubakiana na hali halisi
Nasemajeeee
Nasemajeeee

Bushmamy nna ticket yako ya kwa Fally tar 28 twende ukajipongeze..!!

Wanawake wengine muige sasa sio mnadhalilishwa mnakaa kama mazombie mnalialia..!! 😹😹😹
 
Nina rafiki yangu kafanikiwa sana kiuchumi na maarufu kiasi ila post zake mtandaoni ni kumkandia aliyekuwa mpenzi wake. Huyo dada kaolewa na jamaa wa kawaida sana kiuchumi yaani maisha bado hayajakaa sawa kifedha na yuko zake kimya na mumewe. Tinaomjua jamaa tunajua alimpenda sana bibie ila bibie hakuwa akimpenda na kuamua kusitisha mahusiano.

Inawezekana mwanaJF Robert Mtibeli anapitia hali kama ya rafiki yangu. Mtibeli nakushauri usiweke vinyongo. Kubali kuwa maishani kuna kuacha, kuachwa na kuachana.
Rafiki yako wapi?
Si useme ni wewe tu!
Hakuna wa kukuchapa hapa..!.! 😹
 
Vitu nivipendavyo 😹😹
Kumbe malalamiko yote ulimtosa huyo boya wa utebelini..!!

Kwahiyo ana kidole cha mtoto hakigusi kuta za kitumbua vizuri? 😹
Lamony anapenda mituringa iguse kuta za kitumbuani
 
Back
Top Bottom