Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
- #101
Kwamba..🤣🤣
Anajua huyo
Kwamba..🤣🤣
Wampige nani wakati wanaanza kugawa wakiwa form one huko waje huku waanze kudai fungate kwa kipi kipya walichonacho?😀😀😆
Ngoja wadada waje na mawe.
Kama ni hivyo basi wote muwe "bikra"
Wanaume sisi tunapenda sana kujihesabia sana haki.
Wewe umeharibu weee mabinti za watu...
Kwenye kuoa unataka bikra.
Suala liko wazi mtu huvuna alichopanda.
Tuachage unafiki.
Mwanaume unakua bikra ili iweje?! Ikupe thaman gan?! Hii ni maajabu,we ni mwamba kwel mbona km umekech feelings km manz
Alama kwa mwanaume ni ipiBikira ni alama ya usafi(kimwili na kiroho), kujithamini na kujiheshimu kwa mwanamke. Ni fedhea, aibu,uchafu na kinyaa kuoa mwanamke ambaye tayari ashakojolewa manii za wanaume wengine
Ndo mana nikampiga chini, Kila wakati yupo bize na kusimanga wanawawake, aisee atasubiri sana kupata mtu kama Mimi.Nawazaga mtu badala utoe bandiko lenye kujenga hoja unakuja shauri watu juu ya fungate na hela sio zako 😅
Huyu kijana hovyo kabisa
Aisee , unakumbuka mwaka Jana ulivyokuja Arusha , ukaniomba sana nisikuache, ulivoondoka TU unajua Nini kiliendelea Mzee?Ananipenda sana Bushmamy. Hapendezwi na tabia zangu za ukorofi. Anataka niwe goigoi
Napoteaje aisee wakati nipo fungate ngorongoro na jamaa nimemtumia picha za kutosha za breakfast 🥞 za leo Leo.Utani gani 😅 bushmamy kapotea ghafla labda asirudi mbn huyu atakimbia jukwaa
Utauwa watu bidada maana kuachwa alafu kuanikwa kunaumiza 😭Napoteaje aisee wakati nipo fungate ngorongoro na jamaa nimemtumia picha za kutosha za breakfast 🥞 .
Yan Hadi hii fungate iishe lazima jamaa atapotea humu mazima
😄 🤣 😂 😆Utauwa watu bidada maana kuachwa alafu kuanikwa kunaumiza 😭
Utasubiri sana Babu,nikukumbuke Kwa lipi haswa, Kwa ubahili huo au ? Unataka niweke yale mapungufu Yako mengine hapa ili uhame jf Mazima?Hizo pesa za Manyoka msivyo na haya. Mlivyo waroho mnazila. Shauri yenu
Mimi ndio maana mlinikimbia lakini bado mnanikumbuka kama jina la Yesu kwenye maombi
Monetary doctor mi naona huu si wakati wa kuchagua silaha yoyote uliyonayo tumiaUtasubiri sana Babu,nikukumbuke Kwa lipi haswa, Kwa ubahili huo au ? Unataka niweke yale mapungufu Yako mengine hapa ili uhame jf Mazima?
Kayataka mwenyewe huyo, kwanini aje kumnanga jamaa yangu humu jf ,? Kisa kumtumia picha za fungate.Utauwa watu bidada maana kuachwa alafu kuanikwa kunaumiza 😭