Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Ukipanda basi ulizia Lina CCTV camera na inafanya kazi?
Vituo vya kujazia mafuta tunaomba fungeni CCTV maana zitasaidia Sana mbele ya safari.
Kama nyumba yako iko barabarani funga CCTV maana unaweza kuokoa maisha ya watu.
Kwenye bar, mgahawa, hoteli, mtaa wenye maduka na shughuli nyingi, fungeni CCTV na mhakikishe zinafanyakazi muda wote.
Kama wewe ni mwanaharakati ama mwanasiasa funga CCTV kwenye gari lako.
Nyumba za ibada fungeni CCTV maana huko wengine ndiyo safari zao za kwenda kutenda maovu huanzia.
Na wale wenye uwezo wa kuweka chip kwenye miili yenu wekeni na msichukulie poa.