Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
- #41
Watu wamesahau CHADEMA walipotumia "Drone Camera" kwenye mikutano Yao, ghafla ikaja kanuni kuwa Drone camera haiwezi toka Mkoa mmoja kwenda mwingine na lazima drone camera zote zisajiliwe.Ni suala la muda tu. CCTV cameras zipo mbioni kuwekewa utaratibu maalum au kibali maalum. Kumiliki itakuwa kama kumiliki silaha ya moto.