Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
-
- #41
Watu wamesahau CHADEMA walipotumia "Drone Camera" kwenye mikutano Yao, ghafla ikaja kanuni kuwa Drone camera haiwezi toka Mkoa mmoja kwenda mwingine na lazima drone camera zote zisajiliwe.Ni suala la muda tu. CCTV cameras zipo mbioni kuwekewa utaratibu maalum au kibali maalum. Kumiliki itakuwa kama kumiliki silaha ya moto.
Siku hizi zipo za aina tofauti tofauti na nyingine zina AI ndani. Kwa ivo kwa wale wenye kipato kinachoeleweka ni muhimu sana kufunga CCTV.Sasa zipo camera nzuri na bei nafuu...
Ngoja tuone wataishia wapi. Ila CCTV na teknolojia nyingine ni muhimu sana kuwa nazo kama mfuko unaruhusu.Ushauri mzuri sana....CCTV muhimu kweli si umeona sarakasi za "PORI-C" walivyosema kwamba walikuwa hawamfukuzi alphonce lusako ๐ ๐ ๐ bila CCTV tungewaamini.
Low IQweka tu hadi chooni gentleman,
ili wadau tuone unavyoshusha mzigo wa maana wa kiume hadi unafuka moshi, baada ya kubugia dona la nguvu, mtindi na kisamvu jana ๐
Ulichoeleza kina UMUHIMU mkubwa sana kwa maisha ya sasa.Ukipanda basi ulizia Lina CCTV camera na inafanya kazi?
Vituo vya kujazia mafuta tunaomba fungeni CCTV maana zitasaidia Sana mbele ya safari.
Kama nyumba yako iko barabarani funga CCTV maana unaweza kuokoa maisha ya watu.
Kwenye bar, mgahawa, hoteli, mtaa wenye maduka na shughuli nyingi, fungeni CCTV na mhakikishe zinafanyakazi muda wote.
Kama wewe ni mwanaharakati ama mwanasiasa funga CCTV kwenye gari lako.
Nyumba za ibada fungeni CCTV maana huko wengine ndiyo safari zao za kwenda kutenda maovu huanzia.
Na wale wenye uwezo wa kuweka chip kwenye miili yenu wekeni na msichukulie poa.
Nililiongea hili jana humu na wale vibaka wa TRA wamewashiwa moto mpaka wametokomea huku gari lilikuvunjwa vioo.Polisi sasa wamegeuka kama vibaka wanamvizia mtu.
Kwanini wasifuate due procedure, wawe na sare na vitambulisho au wampe mtu wito wa kufika kituoni?
Niliwahi sema humu hii inatengeneza precedent moja ya wananchi kuanza kuchukua hatua mkononi.
Mliona jinsi Tarimo alivyojinusuru na kukimbia basi kuna siku polisi watashindwa nguvu na waliyeenda kumteka na hatokimbia bali atawajeruhi au kuwaua polisi kikatili
Tutakuja kukumbushana siku si nyingi hapa.
Afya&fitness &physics ipo hapa gentleman ohohhhkwahiyo mrangi unashusha mzigo ule wa maana unafuka moshi, kama mtu akiingia washroom akikutana na ule mvuke wenye ukungu wa mzigo wako mzito itabidi asubiri kwanza hali ya hewa itulie ili aingie right?
kuleni vyakula bora vizuri bana ndrugu zango acheni uvivu tafadhali ๐
Sasa wale wanaoshughulikia wengine, siku wakishughulikiwa ndo utajua hujui. Hii dunia haina mwamba. Mwamba ni Mungu pekee. Let no one deceive you.Amini Mungu pekeeyake gentleman, achana na ushirikina tafadhali,
kua huru kufanya uwezavyo kwa amani bila kubugudhi wengine, but kamwe usithubutu kukiuka wala kuvunja sheria za nchi, utashughulikiwa na vyombo husika ipasavyo hapo hapo within second.
Ni Neema na Baraka za Mungu,
waTanzania katika umoja wao wanaimani ni CCM kuliko makolo au utopolo wowote humu nchini.
Jiheshimu๐
ni muhimu kufanya bidii, kula na kunywa vizuri, vitu vilivyo bora aise ๐Afya&fitness &physics ipo hapa gentleman ohohhh
Ova
Ishi na watu vizuri. Acha dhuluma, epuka, tamaa, ubabe na dharau mtaani..Sasa wale wanaoshughulikia wengine, siku wakishughulikiwa ndo utajua hujui. Hii dunia haina mwamba. Mwamba ni Mungu pekee. Let no one deceive you.
empty head with only mayhem ๐Low IQ