Fungu la elimu ya Juu Zanzibar


Punguza mihemko mkuu, ZRA ya Zanzibar inakusanya kwenye mambo yasioy ya Muungano tu,

Mtalii anaekwenda Zanzibar anapolipia visa hela inakwenda wapi?
Mabank na Mitandao ya simu ambayo yana operate Zanzibar kodi zake zote wanalipia wapi?
Tozo zinazolipwa kwa kukatwa kwenye miamala ya simu kwa ambao wanaishi Zanzibar hela yake huwa inakwenda wapi?
 
Hamna sisi vijana tunapaswa kusoma vizuri na kuijua nchi yetu kabla ya kuandika. Hakuna kitu kama hicho.
 
Mapati ya bahari Kuu, mapato ya visa zaidi ya watu ya watu million 1 wanaingia kwa mwaka yanaenda wapi, mapato ya anga ambazo ndege hulipia kwa kutumia anga ya ZNZ, na kumbuka zaidi 80 ya ndege za kimataifa hutumia ambayo kabla ya Muungano ilikuwa ni eneo la zanzibar, mapato ya meli za kigeni zinazopita katika bahati ya znz, mapato ya bank ambazo zinaoperate ZNZ Kodi zake zinaenda wapi? Mapato ya Kodi za mitandao ya simu na Kodi za miamala ambazo wateja wake wanaishi ZNZ yanaenda wapi? . Je hayo mapato hayo yanakusanywa na ZNZ? Tafuta pesa Wacha wivu wa kujinga na kuongea viyu ambavyo huna uelewa navyo.. Kenge we we!
 
1. mapato ya visa na mapato ya anga ndio yatumike kulipia mabilioni hayo? tunakusanya bei gani kwa ajili ya hayo?

2. unasema kabla ya muungano eneo la anga lilikuwa la zanzibar, usichojua ni kwamba Tanganyika ilipata uhuru wakati ninyi kizimkazi mnacharazwa fimbona sultani na kumwoshea choo chake kinachonuka. kwahiyo Tanganyika ilishakuwa nchi, ina terrirorial waters zake, halafu idepend kwa zanzibar?
 
Wanaostahili kulaumiwa ni viongizi kutoka Tanganyika katika barza la mawaziri ambao hawapingi unyonyaji huu

Niliwahi kusema humu siku ikija serikali ya Tanganyika hawa wote ambao ni viongozi wa sasa hawatakiwi kushika wadhifa wowote katika Tanganyika kwa kuisaliti Tanganyika.
 
Kumbe wewe mpuuzi. Huna unalolijua.huu si Muungano wa nchi mbili Kila nchi Ina anga yake kabla ya kuungana. Na ikaifanya anga ya TZ, Kuna ndege zinalipa Kodi kupita juu ya anga ya znz.
.Najua wewe ni kilaza Fanya simple math. Wanaingia watalii 1 million znz na Kila mtu minimum analipa 50$ kwa mwaka pesa ya visa 50milion USD bayo ni sawa na 125bilion Tsh kwa mwaka. Na hizo Pesa ambazo wanapewa wanafunzi ni mkopo na wanazirejesha. Sasa wewe piga math sehemu nyengine. Tozo zasimu pamoja na Kodi, tozo za bank pamoja na Kodi za miamala ya ki benk. Tozo za Meli. Kwani meli karibiria zote zinazongia ikia bandari za Tanganyika zinatumia Bahari za ZNZ(exclusive economic zone)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…