#Tanzania Kozi 8 Zinazolipa kwa Dola leo hii Bongo hakuna vyeti!
1. FUNDI WA MIGODINI (Mining Technician) - Geita, North Mara, Bulyanhulu wanalipa Dola 4,000 - 12,000 Watanzania tuna madereva tu.
2. URUBANI WA BALLOON - Dola 600 KWA SAA 1 (Hii ndiyo fursa kali zaidi!).
3. TOUR OPERATOR WA MTANDAONI - Mzungu kauza Serengeti Dola 5,000 akiwa Berlin, wewe unabaki na dola 100 ya usafiri air port.
4. DIVING INSTRUCTOR ZANZIBAR - Dola 100 KWA SIKU - Wengi ni Waitaliano.
5. GASTRONOMY CHEF (Mapishi ya Kitalii) - Mzungu analipa Dola 50 kula pilau yetu.
6. PROFESSIONAL SAFARI GUIDE - Wetu Dola 20 wa mzungu Dola 200 kwa siku.
7. AGRIBUSINESS - Usindikaji Nyanya ya 500 ukaiboresha unauza 4,000.
8. SOUVENIR BRANDING - Shanga ya Dola 5 ya mama Maasai ukiweka brand unauza Dola 50.
LEO NAWACHAMBULIA NO. 2
Kila asubuhi Serengeti kuna Balloon 15 zinapaa. Tiketi moja Dola 550 - Dola 600. Hesabu ya kampuni moja kwa siku ni Dola 8,000+ kwa nini marubani wote ni wageni?
KWA SABABU BONGO BADO HAKUNA CHUO CHA BALLOON PILOT!
Nchi nzima tuna marubani Watanzania chini ya 5 tu waliofundishwa na Serengeti Balloon Safaris yenyewe.
NJIA 3 HALALI ZA KUWA RUBANI:
NJIA 1: TRAILBLAZERS (BURE 100%)
Hii sio ya urubani, ni lango la kuingia kwenye kampuni. Ni kozi ya wiki 3 Serengeti ya Ugide, bure kabisa - chakula, malazi. Ukiingia vizuri unapata ajira ya miaka 2 kama transfer driver, ndipo unaanza njia ya urubani. Mwaka jana vijana 22, mwaka huu 28 wamechaguliwa.
NJIA 2: NJIA YA TCAA (Milia 45)
- Student Licence TCAA ∼800k
- Masomo nje (USA/Europe) Masaa 16 Dola 15k-20k
- Kurudi kuruka masaa 10 TZ ni 2M kisha
Mshahara ukirudi ni Dola 2,500 - Dola 4,000 / mwezi.
NJIA 3: SOUTH AFRICA
Shule pekee Afrika Miezi 3-6 Gharama Dola 12k-15k (Mil 32-40)
FAIDA
Balloon 1 ikiruka Dola 600 x 25 siku = Dola 15,000 kampuni inaingiza. Rubani analipwa Dola 2,500-3,500. Kazi miezi 12, hakuna low season kama guide.
Kozi nyingine 7 zote zinapatikana VETA, SIDO kwa 1.2M-2M tu.
Siri sio ajira, siri ni cheti sahihi.