FUNGUA FIKRA .... Dunia inakuacha ( part two/extended)

Mkuu nimekupata vizuri kabisaa....
Mkuu naomba unipe maana halisi ya neno elimu?
Ukiongelea elimu unazungumzia nini?
Huwa napata changamoto sana kuhusa neno elimu..
Elimu ni neno ambalo huwa linatumika na kueleweka tofautitofauti kulingana na muktadha wa mazungumzo. Maana ya elimu ninayo ongelea mimi au leo inaweza kuwa tofauti na nitakayo ongea mimi au wewe keso. Ni vema ukajiamini kwa maana hiyo uijuayo kwani hakuna aliye na maana zaidi ya hiyo kwa muktadha huo. Katika jamii ukiongelea Elimu wengi wataelewa kwa maana ya kiwango cha mafunzo uliyo yapata na kupatiwa cheti kama uthibitisho wa kuhitimu hatua husika. Inaweza kuwa mafunzo ya taaluma(ujuzi), hii huhitaji uwe umefika ngazi ya chuo.Vilevile elimu kama mafunzo ya kuongeza au kupanua kiwango cha uelewa ambapo yatakufanya akili yako kuwa tayari kupokea ujuzi wowote au maalum mfano, ukihitimu elimu ya sekondari. Maana ya elimu inategea muktadha.
 
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Sikiliza na ufanyie kazi anachosema kitakusaidia maadam ni chakula positive acha kumkatisha tamaa pole sana umefungwa na ajira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…