wewe hayo yote unayotafsiri na kujazia mifano yako unayafanya kwa vitendo? au unaandika tu..... tatizo sio kwamba watu hawayajui hayo isipokua ni uthubutu.... wewe kama muandishi ulitakiwa utueleze by physical examples na changamoto unazokutana nazo......... mkuu sio tu rich dad and poor dad pia kuna retire young and retire rich, think and grow rich, financial intelligence na vitabu vingi.... akina napoleone hills, bob pratter na kuyosaki ni wajasiriamali na pia wanaandika wanauza na kupata mamilioni ya dola.... haya wewe unapata nini hapa? sifa tu au you make some money? thubutu kwanza tuonyeshe umefikia wapi in practical then utaonekana wa maana..... kwa mfano haya unayoyaandika angeandika patrick ngowi, Diamond platnum au bakhresa au Moa yangekua na uzito zaidi kwakua wanayofanya yanaonekana