Fungua njia kitoto kaanza tambaa !!!

Fungua njia kitoto kaanza tambaa !!!

Kubota

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2012
Posts
533
Reaction score
1,101
Wakubwa nabonyeza kitufe cha spika itoke sauti kali kama radi, nabisha hodi hodi kwenu wenyeji wote humu jamvini popote mlipo, Mlimakafu, Sikonge, Rich woman, Malila, na wenyeji wote wa kijiwe cha ujasiria mali hasa mlengo wa Shambani mpoo?, nimechoka kuwa Premium visitor from 2009, nimeamua niingie ulingoni tupanuane mawazo tujenge Tanzania yetu! Jamani fungueni njia kitoto kaanza tambaaa!! :A S-baby:
 
Mbona umechelewa sana? karibu jamvini.
 
Karibu sana.
 
Asanteni, Globu ni kweli nimechelewa ila hatimae nimefika!
 
Karibu JF mkuu, ama baada ya ukaribisho...
Nakuomba ubonyeze hapo chini kwenye maandishi ya bluu halafu mpigie kura dada mrembo wa JF anayeitwa charminglady...natanguliza shukrani
INGIA HAPA KUPIGA KURA

Wakubwa nabonyeza kitufe cha spika itoke sauti kali kama radi, nabisha hodi hodi kwenu wenyeji wote humu jamvini popote mlipo, Mlimakafu, Sikonge, Rich woman, Malila, na wenyeji wote wa kijiwe cha ujasiria mali hasa mlengo wa Shambani mpoo?, nimechoka kuwa Premium visitor from 2009, nimeamua niingie ulingoni tupanuane mawazo tujenge Tanzania yetu! Jamani fungueni njia kitoto kaanza tambaaa!! :A S-baby:
 
Karibu JF mkuu, ama baada ya ukaribisho...
Nakuomba ubonyeze hapo chini kwenye maandishi ya bluu halafu mpigie kura dada mrembo wa JF anayeitwa charminglady...natanguliza shukrani
INGIA HAPA KUPIGA KURA

Asante nashukuru, nitapiga mwakani ivi sasa bado kuku mgeni ninakamba miguuni nisije mpigia mtu just to learn later that she is ......
 
Wakubwa nabonyeza kitufe cha spika itoke sauti kali kama radi, nabisha hodi hodi kwenu wenyeji wote humu jamvini popote mlipo, Mlimakafu, Sikonge, Rich woman, Malila, na wenyeji wote wa kijiwe cha ujasiria mali hasa mlengo wa Shambani mpoo?, nimechoka kuwa Premium visitor from 2009, nimeamua niingie ulingoni tupanuane mawazo tujenge Tanzania yetu! Jamani fungueni njia kitoto kaanza tambaaa!! :A S-baby:

Njoo pembeni unikumbushe ile ID yako nyingine.BTW karibu
 
Back
Top Bottom