Kubota
JF-Expert Member
- Oct 21, 2012
- 533
- 1,101
Wakubwa nabonyeza kitufe cha spika itoke sauti kali kama radi, nabisha hodi hodi kwenu wenyeji wote humu jamvini popote mlipo, Mlimakafu, Sikonge, Rich woman, Malila, na wenyeji wote wa kijiwe cha ujasiria mali hasa mlengo wa Shambani mpoo?, nimechoka kuwa Premium visitor from 2009, nimeamua niingie ulingoni tupanuane mawazo tujenge Tanzania yetu! Jamani fungueni njia kitoto kaanza tambaaa!! :A S-baby: