SHABANIMAVOCHA
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 320
- 65
Sio vzur ndug au unaushahid wwte katk hloPale Nilipomwona " Live " Mgombea Urais Mmoja AKIJISAIDIA HAJA ZOTE Za KIBINADAMU Ktk Mkutano Wake Wa Hadhara Mkoani GEITA. Hakika Sitalisahau Hili Tukio Kwani LIMENISIKITISHA Na KUNISONONESHA Mno Kama Siyo Sana.
Pole sana sana. Aliyekutoa alikua sio mzoefu
Siku nilipokamata SMG na kupiga risasi kadhaa. Kwangu ni jambo la kumbukumbu.
Dah! Ctasahau cku nilipo fumaniwa na mchumbaang lakin cha ajabu zaid akafunga mlango na kuanza kumwambia yule mwanamke mwenzie et yy hana kosa mwenye kosa ni mm so wakaanza kunicha ngia kunipiga Dah! Nilidharilika sna
pole mkuu.... haukumuona malaika mtoa roho anakuja?
we acha tu mkuu, cha kushangaza yaani sijavunjika hata kidole, nilipata michubuko miwili tu, GLORY TO GOD
Teh nimewapenda bure hao wanawake, yani kama naona walivyokupa mijikonde na masinki juu na hata nguvu za kujitetea kushney, unakuwa mdogoooo. Wajinga wengine wangeanza kupigana wao
Dah! Kwan kuna uzoef wa kutoa bikra mbona me nimebaatika kuwatoa bikra wasichana wa 3 AF wte wana sema inauma
Teh wakusikilize nini tena jamani, kwani hukuwa unawachanganya?Yaaan nilikuwa mdogo sana sitasahau hata kidogo tukio hli lakin hawakunitendea haki wangenisikiliza kwanza sio kunishambulia kwa kunipiga
Sio vzur ndug au unaushahid wwte katk hlo
Dah! Ctasahau cku nilipo fumaniwa na mchumbaang lakin cha ajabu zaid akafunga mlango na kuanza kumwambia yule mwanamke mwenzie et yy hana kosa mwenye kosa ni mm so wakaanza kunicha ngia kunipiga Dah! Nilidharilika sna
Hiyo avatar imenikumbusha kipindi hicho nacheza sana subway surfers, ila nilikuja kulichukia baada ya kuwa linagoma goma.
Nlisingiziwa kitu mwaka 2000 nkiwa std 5 nilishasamehe ila nashindwa kusahau, mwaka huu tena nmesingiziwa kitu kinaniuma sana sana nashindwa kusahau sijui kama nitasahau
Dah! Pole ndugPale mchepuko aliponiambia nikamsalimie mama yake amemtembelea kwake nilienda mbiombio na zawadi kabisa kufika karibia nizimie kumbe alikuwa ni mama wa mke wangu na huo mchepuko ni mdogo wa mke wangu ambaye tulipanga na wife tukamtembelee ili nimfahamu.. mchepuko ni sheeda sasa hapa naona aibu hata kwenda ukweni.
Teh wakusikilize nini tena jamani, kwani hukuwa unawachanganya?
Hahhaa ndo usicheat tena, tulia na mmoja basiHata kama lakin ile vurugu ilikuwa kubwa sna yaan mwenz mzma naona haibu mtaan dah!