Funguka kitugani hutakuja kukisahau katika maisha yako

Funguka kitugani hutakuja kukisahau katika maisha yako

Pale Nilipomwona " Live " Mgombea Urais Mmoja AKIJISAIDIA HAJA ZOTE Za KIBINADAMU Ktk Mkutano Wake Wa Hadhara Mkoani GEITA. Hakika Sitalisahau Hili Tukio Kwani LIMENISIKITISHA Na KUNISONONESHA Mno Kama Siyo Sana.
Sio vzur ndug au unaushahid wwte katk hlo
 
Dah! Ctasahau cku nilipo fumaniwa na mchumbaang lakin cha ajabu zaid akafunga mlango na kuanza kumwambia yule mwanamke mwenzie et yy hana kosa mwenye kosa ni mm so wakaanza kunicha ngia kunipiga Dah! Nilidharilika sna

Teh nimewapenda bure hao wanawake, yani kama naona walivyokupa mijikonde na masinki juu na hata nguvu za kujitetea kushney, unakuwa mdogoooo. Wajinga wengine wangeanza kupigana wao
 
we acha tu mkuu, cha kushangaza yaani sijavunjika hata kidole, nilipata michubuko miwili tu, GLORY TO GOD

Hiyo avatar imenikumbusha kipindi hicho nacheza sana subway surfers, ila nilikuja kulichukia baada ya kuwa linagoma goma.
 
Teh nimewapenda bure hao wanawake, yani kama naona walivyokupa mijikonde na masinki juu na hata nguvu za kujitetea kushney, unakuwa mdogoooo. Wajinga wengine wangeanza kupigana wao

Yaaan nilikuwa mdogo sana sitasahau hata kidogo tukio hli lakin hawakunitendea haki wangenisikiliza kwanza sio kunishambulia kwa kunipiga
 
Pale mchepuko aliponiambia nikamsalimie mama yake amemtembelea kwake nilienda mbiombio na zawadi kabisa kufika karibia nizimie kumbe alikuwa ni mama wa mke wangu na huo mchepuko ni mdogo wa mke wangu ambaye tulipanga na wife tukamtembelee ili nimfahamu.. mchepuko ni sheeda sasa hapa naona aibu hata kwenda ukweni.
 
Sio vzur ndug au unaushahid wwte katk hlo

Wale Inzi Walikuwa Wanamjalia Nini Ktk Suruali Yake? Kilichowafanya Mumzunguke Pale Na Haraka Kumpeleka Uani Na Kumbadilisha Suruali Yake Ilikuwa Ni Sababu Gani? Kwanini Suruali Ililowa Upande Mmoja Tu Wa Mapajani? NAOMBA LEO IWE MWISHO KUULIZWA HILI SWALI Na Kama Huamini Nini KILITOKEA Pale Geita MTAFUTE Yule Aliyekuwa MC Wenu au Mtafute MLINZI Wake Mkuu Ambaye Zamani ALIKUWA Ni Mmoja Wa WALINZI Wa Hayati Baba Wa Taifa Atakufafanulia Zaidi Na Kama Utakuwa Huna Namba Zao Ni PM Nikupe Ili Uwatafute WAKUPE HABARI KAMILI Kwani Hiki Nilichokiweka Hapa Ni MUHTASARI Tu. Otherwise Nisalimie Sana Hawa Watu Wafuatao Kwa Umuhimu Wao Ambao Ni Fredrick Sumaye, Kingunge Ngombare Mwiru, Joseph Mungai, Lawrence Masha, Lembeli Na Tambwe Hizza Na Waambie Wakae Kimya Hivyo Hivyo Kwani MWANAMUME ALIYEINGIA JANA HANA KUREMBA REMBA Kama MSTAAFU Na HACHELEWI KUKINUKISHA Na Hata Jana Kawaambieni Kuwa " MIMI DOKTA JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI NDIYE Rais ". Mtanyooka Tu!
 
Dah! Ctasahau cku nilipo fumaniwa na mchumbaang lakin cha ajabu zaid akafunga mlango na kuanza kumwambia yule mwanamke mwenzie et yy hana kosa mwenye kosa ni mm so wakaanza kunicha ngia kunipiga Dah! Nilidharilika sna

Duuh hiyo nayo kali.. mwisho wa siku ukawapigia magoti kuomba wakunusuru na kichapo ..sawa sawa
 
Hiyo avatar imenikumbusha kipindi hicho nacheza sana subway surfers, ila nilikuja kulichukia baada ya kuwa linagoma goma.

yaani hilo ndo my favourite, karibu tena tucheze now ni world tour tsanslyvania
 
Nlisingiziwa kitu mwaka 2000 nkiwa std 5 nilishasamehe ila nashindwa kusahau, mwaka huu tena nmesingiziwa kitu kinaniuma sana sana nashindwa kusahau sijui kama nitasahau

Mwaka 2000 nilikuwa form 2 kumbe bado u binti mdogo sana
 
Pale mchepuko aliponiambia nikamsalimie mama yake amemtembelea kwake nilienda mbiombio na zawadi kabisa kufika karibia nizimie kumbe alikuwa ni mama wa mke wangu na huo mchepuko ni mdogo wa mke wangu ambaye tulipanga na wife tukamtembelee ili nimfahamu.. mchepuko ni sheeda sasa hapa naona aibu hata kwenda ukweni.
Dah! Pole ndug
 
Back
Top Bottom