Funguka kitugani hutakuja kukisahau katika maisha yako

Ndug nakushaur tukutane kwenye jukwaa la siasa
 

Alafu we jamaa wewe akili yako haina tofauti na kondoo.
 
Duuh hiyo nayo kali.. mwisho wa siku ukawapigia magoti kuomba wakunusuru na kichapo ..sawa sawa

Unafkili walinielewa af cha ajabu ule mchepuko ndo ulikuwa na hasira kuliko MWENYE mari ilibid rafk ang alie kuwa nje aje kuvunja mlango na kumshika m1 dah! Nilisikia aibu sana
 


jamani mimeipenda testimony yako. Naongeza ya kwangu hapahapa,

Sitasahau tarehe 6/6/2010 nilipata ajali ya ajabu mitaa ya sanawari. gari dogo aina ya Corrolla nilinifuata pembeni nilikokuwa natembea zangu polepole kwa miguu kuelekea kanisani, nilianguka chini na gari likaja juu yangu. Cha kushangaza niliokotwa chini ya uvungu wa gari nikiwa salama na mikwaruzo midogo midogo tu.

SITOKAA NIISAHAU HII AJALI, and I always give praise to my Lord Jesus Christ.
 
Nlisingiziwa kitu mwaka 2000 nkiwa std 5 nilishasamehe ila nashindwa kusahau, mwaka huu tena nmesingiziwa kitu kinaniuma sana sana nashindwa kusahau sijui kama nitasahau


pole Evelyn Salt, jambo la kusingiziwa linauma sana na ni vigumu kulisahau. Mwombe Mungu akupe faraja ya moyo wako usonge mbele wala usijali.
 
Sitosahau kamwe bao la mkono lililofungwa na ccm mwaka huu..
 
Sitasahau siku niliyofunga ndoa na mtu nisiyempenda,
Watu walikua na furaha lkn mimi nilikua na majonzi sana.
 
pole Evelyn Salt, jambo la kusingiziwa linauma sana na ni vigumu kulisahau. Mwombe Mungu akupe faraja ya moyo wako usonge mbele wala usijali.

Aisee linauma mfano hakuna, ahsante yani siku hiyo hadi nikawawaza wafungwa wanasingiziwa.... Dah kusingiziwa kitu inauma sana na kiubinadamu huwezi jitetea ukaeleweka
 
Kuchaguliwa kifamilia, bad thing I hv some1 I love ila isikie kwa mwenzio, omba yasikukute... Yap bado tupo.

Sorry we ni jinsia gani? Mwanamke anajifunza kupenda mwanaume haipo hiyo.... Pole sana ngekua mie nisingekubali aisee tena na hivi ni shinikizo la watu hapana kuishi na mtu usiempenda ni kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…