Funguka kitugani hutakuja kukisahau katika maisha yako

Sorry we ni jinsia gani? Mwanamke anajifunza kupenda mwanaume haipo hiyo.... Pole sana ngekua mie nisingekubali aisee tena na hivi ni shinikizo la watu hapana kuishi na mtu usiempenda ni kazi

Mamii hata kwa mwanamke it depends, wengine inashindikana kabisaaa kujifunza hata sylabus ibadilishwe kitu hakipandi.
 
Sorry we ni jinsia gani? Mwanamke anajifunza kupenda mwanaume haipo hiyo.... Pole sana ngekua mie nisingekubali aisee tena na hivi ni shinikizo la watu hapana kuishi na mtu usiempenda ni kazi

Mwanamke.... Familia zinatofautiana, ndio mana nikasema yasikie kwa mwenzio
 
Hasante mpenzi, inauma asikuambie mtu, ukizingatia ndio kwanzaaa naanza form1 alafu anaondoka, daaah! I miss her alot.
Daah kumbe ulikiwa unaanza form one!!, ni ngumu hata kuimagine ilivyokuwa. Ila ashukuriwe Mungu kwa yote, kwa sababu Najua tukiongea sana tutaishia kumlaumu na kumkufuru Mungu. Apumzike kwa amani mama yetu mpendwa
 
Ni kweli mpendwa, Aimen.
 
Mamii hata kwa mwanamke it depends, wengine inashindikana kabisaaa kujifunza hata sylabus ibadilishwe kitu hakipandi.

Kuna bidada mmoja naona alikua na hamu sana na ndoa anasema hampendi huyo mmewe ila atampenda mbele ya safari ukimsikia anavomsema teh et limwanaume libaya, jeusi ha ha ha hapo walikua wachumba
 
Kuna bidada mmoja naona alikua na hamu sana na ndoa anasema hampendi huyo mmewe ila atampenda mbele ya safari ukimsikia anavomsema teh et limwanaume libaya, jeusi ha ha ha hapo walikua wachumba

Teh teh teh, km mimi kama sikupendi sikupendi tu siwezi kujifunza, kuna ambao hujipa moyo hivyo alafu mwisho wa siku wanaishia kuchepuka.

Kuna bidada nae alilaximisha hivyo hivyo eti atapenda mbele ya safari akawa haishi kulalamika kuwa wakiduu anaumia tu wala haenjoy, mwisho kajivhepukia hukoo na kuzaa watoto wawili wote wa mchepuko mume hana habari.
 
Kama kuna wapuuzi basi wewe ni mpuuzi na mjinga namba moja
Unaongea usichokijua wala kukiona, unaleta story za vijiweni
Kwa maneno yako unaonekana hujastaarabika na hujaenda shule kabisa

Huna facts huna evidence all u speak is rubbish...... Siasa za majitaka .............FOOLISH!!!!!!!!!
 
pole sana mkuu,duniani kuna maajabu sana unanikumbusha mwaka 2009 nilikuwa kituo cha daladala makongo naenda magomeni tution,Hiace ilikuwa inatokea kawe basi taili la mbele upande wa kushoto ukiwa lilipanda juu ya mguu wangu na nilikuwa nimevaa sendo cha ajabu mguu haukuvimba hata kidogo ingawa yule dereva ilibidanichukue na kunipeleka kituo cha afya kariakoo.
 
ulimshukuru mungu kwa kukuokoa ktk hlo?
 
Sitosahau kamwe bao la mkono lililofungwa na ccm mwaka huu..

Sintosahau ulivyonisababisha nikafunga safari kuja Dar, nikalipia hotel halafu eti ukaniambia umeolewa na mme wako yuko nyumbani, nauli ya taxi ukala.

Nikarudi Mwanza bila kukuona.
 
Duu kwel huwez kusahau hilo
Sintosahau ulivyonisababisha nikafunga safari kuja Dar, nikalipia hotel halafu eti ukaniambia umeolewa na mme wako yuko nyumbani, nauli ya taxi ukala.

Nikarudi Mwanza bila kukuona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…