Funguka kitugani hutakuja kukisahau katika maisha yako

Funguka kitugani hutakuja kukisahau katika maisha yako

Pale Nilipomwona " Live " Mgombea Urais Mmoja AKIJISAIDIA HAJA ZOTE Za KIBINADAMU Ktk Mkutano Wake Wa Hadhara Mkoani GEITA. Hakika Sitalisahau Hili Tukio Kwani LIMENISIKITISHA Na KUNISONONESHA Mno Kama Siyo Sana.

Sitasahau nilipokuona ukichumishwa mchicha.
 
Nilifukuzwa kazi, baada ya siku 2 gf wangu akagundua ana ujauzito. Ila nashukuru tulivuka salama
 
Nilipoikanyaga ardhi ya marekani kwa mara ya kwanza july 12. 2009
 
Kumpoteza my lovely mom.

Pole sn.

Hii post yako imenitia uchungu.

I lost my mom twenty years ago lkn mpk leo nalia. Hasa nikikumbuka sikubahatika kuishi nae lkn Mungu Alimleta siku zake za mwisho za uhai wake. Na alifariki tukiwa wawili tu Mimi na yeye chumbani.

Namuomba Mola ampumzishe pema huko aliko.
 
madame pole sana pia nivizuri kumshukuru mungu kwa kila jambo ambalo linatokea kwa maana yy ndiyo kila kitu katika maisha yetu

Yeah nashukuru ni mipango ya Allah sins budi kumshukuru
 
Last edited by a moderator:
Ni siku ambayo Baba yangu alifariki 2008 kwa kweli sitasahau katu Ni pigo had Leo maisha yangu yalibadilika tokea hapo ILA nashukuru mungu Ni mipango yakee na maisha yanasonga

Pole sana mkuu. Mungu akujaze rehema na nguvu usimame imara.
 
Pole sn.

Hii post yako imenitia uchungu.

I lost my mom twenty years ago lkn mpk leo nalia. Hasa nikikumbuka sikubahatika kuishi nae lkn Mungu Alimleta siku zake za mwisho za uhai wake. Na alifariki tukiwa wawili tu Mimi na yeye chumbani.

Namuomba Mola ampumzishe pema huko aliko.

Yaani sitaki hata kukumbuka zile siku za mwisho za uhai wake maana nikikumbuka tu nabubujikwa machazi, daaah very painful, ila ndio hivyo life has to go on so tunamshukuru tu Mungu kwa kila jambo.
 
Mwaka 2003 nilichukua changudoa pale kili time...sasa hv panaitwa san siro..wote tulikua tumelewa mno..nilipofika ndani nikauza timu....mishale ya saa tisa usiku naenda chooni lahaula naangalia mezani naziona ARV nilikua nazijua..kwenye kichupa cheupe..nikarudi kulala...asubuhi naamka hazipo pale ...nashkuru MUNGU nipo hai hadi leo
 
Yaani sitaki hata kukumbuka zile siku za mwisho za uhai wake maana nikikumbuka tu nabubujikwa machazi, daaah very painful, ila ndio hivyo life has to go on so tunamshukuru tu Mungu kwa kila jambo.

Naam, ndo safari. Hakuna namna
 
Back
Top Bottom