Pale Nilipomwona " Live " Mgombea Urais Mmoja AKIJISAIDIA HAJA ZOTE Za KIBINADAMU Ktk Mkutano Wake Wa Hadhara Mkoani GEITA. Hakika Sitalisahau Hili Tukio Kwani LIMENISIKITISHA Na KUNISONONESHA Mno Kama Siyo Sana.
Sitasahau nilipokuona ukichumishwa mchicha.
Kwa hiyo walimpumulia kisogoni.. au unamaanisha nini mkuu.
Kumpoteza my lovely mom.
Ni siku ambayo Baba yangu alifariki 2008 kwa kweli sitasahau katu Ni pigo had Leo maisha yangu yalibadilika tokea hapo ILA nashukuru mungu Ni mipango yakee na maisha yanasonga
Pole sn.
Hii post yako imenitia uchungu.
I lost my mom twenty years ago lkn mpk leo nalia. Hasa nikikumbuka sikubahatika kuishi nae lkn Mungu Alimleta siku zake za mwisho za uhai wake. Na alifariki tukiwa wawili tu Mimi na yeye chumbani.
Namuomba Mola ampumzishe pema huko aliko.
Siku kikundi chetu cha maigizo kilipokufa
Yaani sitaki hata kukumbuka zile siku za mwisho za uhai wake maana nikikumbuka tu nabubujikwa machazi, daaah very painful, ila ndio hivyo life has to go on so tunamshukuru tu Mungu kwa kila jambo.
Pole sana mkuu. Mungu akujaze rehema na nguvu usimame imara.
Sitasahau asilimia 82.9% ya waliokosa mikopo 2015/16
Kumpoteza my lovely mom.
Pole Sana Wife
Nashukuru, ila haipoi hii.
Alafu we jamaa wewe akili yako haina tofauti na kondoo.
Mwanamke.... Familia zinatofautiana, ndio mana nikasema yasikie kwa mwenzio