Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Sinto sahau huyu mdada alivyo kipaka humu jf aiseeee....[emoji25]
Mkuu mnaendeleaje so far?.Sitasahau siku niliyofunga ndoa na mtu nisiyempenda,
Watu walikua na furaha lkn mimi nilikua na majonzi sana.
Mkuu kumbe tuko wengi nam nlifunga ndoa na mtu nisiempenda yy alifurah had kuzimia ndugu zangu walifurajlh sana she was wife material but moyo ilikuwa siku ngumu sana niliwaza mengi but senx god tumejikokoja huu mwaka wa 3 tuna mtoto 1 na mama kijacho walioana kwa kupendana wengne ndoa zilivunjika hazikufka hata miezi 6Mkuu mnaendeleaje so far?.
😀😀😀😀😀😀 alifurahi hadi kuzimia😕Mkuu kumbe tuko wengi nam nlifunga ndoa na mtu nisiempenda yy alifurah had kuzimia ndugu zangu walifurajlh sana she was wife material but moyo ilikuwa siku ngumu sana niliwaza mengi but senx god tumejikokoja huu mwaka wa 3 tuna mtoto 1 na mama kijacho walioana kwa kupendana wengne ndoa zilivunjika hazikufka hata miezi 6
Acha tu😀😀😀😀😀😀 alifurahi hadi kuzimia😕
Mkuu mnaendeleaje so far?.
Mkuu kumbe tuko wengi nam nlifunga ndoa na mtu nisiempenda yy alifurah had kuzimia ndugu zangu walifurajlh sana she was wife material but moyo ilikuwa siku ngumu sana niliwaza mengi but senx god tumejikokoja huu mwaka wa 3 tuna mtoto 1 na mama kijacho walioana kwa kupendana wengne ndoa zilivunjika hazikufka hata miezi 6
Mkuu acha mtu mwenyewe nlipanga kumuacha soon after mariege cha ajabu kila cku anashinda hom na mijizawadi nikienda hom na sababu zangu naonekana kichaa moyo uache nataman kupmenda nashindwa naishia kujichekelesha tuHahaha hiyo kitu isikie kwa mwenzio,
Me nilipanga mpk kutoroka cku 1 kabla ya wedding,
Ulinzi ulikua mkali maana wazazi na ndugu wote walimtaka.
Kama ulivyosema walioana kwa mapenzi wameshaachana,
Sie ndio kwanza yanachanua daily.
Ww jamaa kama mm nliwah kumletea mchepuko alijifanya hauoni kesho yake kasema uusalimie mcheluko wetuTunaendelea vzr alhamdullillah,
Nilikuja kumpenda ingawa alifanya kazi sana mpaka kufika hapa tulipo,
Hakuwahi kukasirika licha ya vituko kibao nilivyomfanyia.
Mwaka wa 4 sasa.
Kuumwa siyo aibu... Uzima watoka Kwa MUNGUHata Mimi nimelishuhudia hilo ukawa na aibu yao
mbarikiwe,na mimi napitia njia hiyo....Tunaendelea vzr alhamdullillah,
Nilikuja kumpenda ingawa alifanya kazi sana mpaka kufika hapa tulipo,
Hakuwahi kukasirika licha ya vituko kibao nilivyomfanyia.
Mwaka wa 4 sasa.
mbarikiwe,na mimi napitia njia hiyo....
yupNjia yako ikoje mkuu,
Yani unafunga ndoa na mtu usiyempenda?
ha ha ha ha Umenichekesha kweli, duh.Nyooo mja laana weyeee