Funguka kitugani hutakuja kukisahau katika maisha yako

Hahaha hiyo kitu isikie kwa mwenzio,
Me nilipanga mpk kutoroka cku 1 kabla ya wedding,
Ulinzi ulikua mkali maana wazazi na ndugu wote walimtaka.

Kama ulivyosema walio oana kwa mapenzi wameshaachana,
Sie ndio kwanza yanachanua daily.
Sorry my dear, ilikuwaje kuwaje hadi mkaoana? Mlilazimishwa na wazazi au Kulikuwa na issue gani?
 
Mara ya kwanza kugonga papuchi,.........moyo ulikuwa unakwenda mbio........na nilikuwa na papara sana na nilikwenda raundi nyingi sana,baada ya hapo nikagundua mwili hauna nguvu ninapepesuka........Sintasahau...........
 
Wataka kusema huo mchepuko (mdogo wa mkeo) alikuwa hajui dadaake kaolewa na nani na vilevile ww ulikuwa humjui mdogo wa mkeo!!
 
Sorry my dear, ilikuwaje kuwaje hadi mkaoana? Mlilazimishwa na wazazi au Kulikuwa na issue gani?

Wazazi walikua wameshapanga wenyewe khs ndoa bila sisi kujua,
Posa ikaletwa ndio namuona mchumba, sikua tayari kufunga ndoa na wala hatukua tunajuana na huyo mtu, ila kwa kua wazazi wameshaamua,
No way out, watu wakala mpunga kama kawa.
 
Sito sahau pale nilipotokea kumpenda dada mmoja siku tu alionipa promise ya kukutanaye kimajojo ni kampa mimba hadi sasa naitwa baba sito sahau kamwe katika maisha yangu
 
But Mungu ni mwema, now mnalea tu twins kwa furaha zote
 
Sito sahau pale nilipotokea kumpenda dada mmoja siku tu alionipa promise ya kukutanaye kimajojo ni kampa mimba hadi sasa naitwa baba sito sahau kamwe katika maisha yangu

Hongera sana mkuu,
Mmeshafunga ndoa?
 
sitosahau nikiwa Arusha form 6 girlfriend wang ananitumia sms kuwa ni mwezi wa tatu sasa hajaona siku zake,ikiwa ndo nilikuwa nimetoka likizo mwanza na nilimlazimisha hadi tuka do!! niliogopa sana na kesho yake tulikuwa na test... nakumbuka nilipata 20%
 
Sitokaa nisahau Kingunge Ngombare Mwiru kuhama CCM na kusema kuwa CCM imeishiwa pumzi!Huyu mzee ni nomaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…