Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Sorry my dear, ilikuwaje kuwaje hadi mkaoana? Mlilazimishwa na wazazi au Kulikuwa na issue gani?Hahaha hiyo kitu isikie kwa mwenzio,
Me nilipanga mpk kutoroka cku 1 kabla ya wedding,
Ulinzi ulikua mkali maana wazazi na ndugu wote walimtaka.
Kama ulivyosema walio oana kwa mapenzi wameshaachana,
Sie ndio kwanza yanachanua daily.