Funguka mdau!! Usipite

[emoji23] mkuu umenikumbusha mbali san ni baada ya kudokoa samaki staff[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
darasa linanuka utafikiri tunafuga beberu huku
 
D. Hunter ihungo secondary. you boy!!!!!!
 
"Usipoelewa leo, utaelewa siku ya necta"

Bahati mbaya hadi leo sikuwahi muelewa yule msukuma[emoji29]
 
Ile kauli wanakuambia acheni mapenzi sasa hivi we soma tu utayakuta mbele tena watajileta wenyew
Iliniuma sana kumbe maticha ndo wanatupoza ili wawale wao ...te h teh teh
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Daaah umenikumbusha madam flani hiv alikua na maringo pia mkali saana sasa akiingia darasani akakuta kuna harufu ya ushuzi hafundishi haaah bas kama watu hatupendi kusoma siku hiyo n full kujamba tu ...mwenyewe utamskia Aaah kunanuka hum
 
Iyo mitoto ina misambwanda
 
Daaah umenikumbusha madam flani hiv alikua na maringo pia mkali saana sasa akiingia darasani akakuta kuna harufu ya ushuzi hafundishi haaah bas kama watu hatupendi kusoma siku hiyo n full kujamba tu ...mwenyewe utamskia Aaah kunanuka hum
tena ukute wenye nyodo sasa...utasikia humu kuna mibeberu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…