Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] mkuu umenikumbusha mbali san ni baada ya kudokoa samaki staff[emoji125] [emoji125] [emoji125]Unamkumbukia nani,kwa nini,Ilikuweje..
Mkimaliza kuongea niambieni niendelee kufundisha
2:Baba yako kauza ng'ombe ili alete ng'ombe mwingine shule
3:Kama unajua kuliko mimi njoo ufundishe wewe
4:Ulikuja peke yako na utaondoka peke yako
5:Hata msiponisikiliza mshahara wangu uko pale pale
6:Baba yako anahangaika kulipa ada wewe unafanya utumbo tu
7:Hata nikeshe nafundisha wengine ni mizigo hawatoki na lolote
8:Tunavisaidia tu kwan vikifanikiwa mbelen hata salam vinatoa?
9:Bichwa kubwa ubongo nukta
10:Wengine hapa wamekuja kukua tu![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] mkuu umenikumbusha mbali san ni baada ya kudokoa samaki staff[emoji125] [emoji125] [emoji125]
balaa tupu mkuu.[emoji23]darasa linanuka utafikiri tunafuga beberu huku
D. Hunter ihungo secondary. you boy!!!!!!Unamkumbukia nani,ni kwa nini,na ilikuweje..
Mkimaliza kuongea niambieni niendelee kufundisha
2:Baba yako kauza ng'ombe ili alete ng'ombe mwingine shule
3:Kama unajua kuliko mimi njoo ufundishe wewe
4:Ulikuja peke yako na utaondoka peke yako
5:Hata msiponisikiliza mshahara wangu uko pale pale
6:Baba yako anahangaika kulipa ada wewe unafanya utumbo tu
7:Hata nikeshe nafundisha wengine ni mizigo hawatoki na lolote
8:Tunavisaidia tu kwan vikifanikiwa mbelen hata salam vinatoa?
9:Bichwa kubwa ubongo nukta
10:Wengine hapa wamekuja kukua tu![]()
maana haswa ya hili neno ni nini?? coz lilitumika sn"Usipoelewa leo, utaelewa siku ya necta"
Bahati mbaya hadi leo sikuwahi muelewa yule msukuma[emoji29]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ile kauli wanakuambia acheni mapenzi sasa hivi we soma tu utayakuta mbele tena watajileta wenyew
Iliniuma sana kumbe maticha ndo wanatupoza ili wawale wao ...te h teh teh
[emoji23]Hiyo 3 na 9 hahahahahahahah
Iyo mitoto ina misambwandaUnamkumbukia nani,ni kwa nini,na ilikuweje..
Mkimaliza kuongea niambieni niendelee kufundisha
2:Baba yako kauza ng'ombe ili alete ng'ombe mwingine shule
3:Kama unajua kuliko mimi njoo ufundishe wewe
4:Ulikuja peke yako na utaondoka peke yako
5:Hata msiponisikiliza mshahara wangu uko pale pale
6:Baba yako anahangaika kulipa ada wewe unafanya utumbo tu
7:Hata nikeshe nafundisha wengine ni mizigo hawatoki na lolote
8:Tunavisaidia tu kwan vikifanikiwa mbelen hata salam vinatoa?
9:Bichwa kubwa ubongo nukta
10:Wengine hapa wamekuja kukua tu![]()
tena ukute wenye nyodo sasa...utasikia humu kuna mibeberuDaaah umenikumbusha madam flani hiv alikua na maringo pia mkali saana sasa akiingia darasani akakuta kuna harufu ya ushuzi hafundishi haaah bas kama watu hatupendi kusoma siku hiyo n full kujamba tu ...mwenyewe utamskia Aaah kunanuka hum