FUNGUKA: Msanii gani wa Bongo ana kipaji cha rangi lakini yupo juu kwa msaada wa media?

Great Cbn

Senior Member
Joined
Jun 22, 2013
Posts
165
Reaction score
43
Wana JF tufunguke, je unaona msanii gani anakipaji cha kawaida sana lakini msaada wa promo kwenye Media Ndo Unamfanya Awe Juuu. Binafsi naona KALAPINA media ndo zinambeba
 
shilole,snura,recho na hemed phD
 
lady jaydee CLOUDS Enzi zile ilikuwa inambeba sana wimbo ukitoka tu nchi nzima utasikika,walipoacha kumbeba kidogokidogo akapotea japo yeye anadai hawajawai kumbeba jambo ambalo ni unafiki na uongo mkubwa kwani wengi tunajua hili hata kama walimkosea pengine ni masuala ya kibinadamu lakini kutangaza eti hata siku moja hawajawai kumbeba ni laana!......juzi juzi ndokaibuka tena bada ya bifu alilotengeneza kama hamuamini angalieni ivi jide alikuwa msanii wa kufanyia show uwaniyaani sehemu ndogo na kuacha sehemu ya watu wengi nje...iyo ina mana mwenyewe moyoni anakiri kwamba huenda alisahaulika amshukuru sana aliyemshauri kutengeneza bifu.SIMCHUKII ILA NASEMA UKWELI ULIVYO!
 
Biashara matangazo....kipaji mambo ya zamani
 
Wana JF tufunguke, je unaona msanii gani anakipaji cha kawaida sana lakini msaada wa promo kwenye Media Ndo Unamfanya Awe Juuu. Binafsi naona KALAPINA media ndo zinambeba
Ukisema Kalapina nakushangaa sana. Mimi naona kama vile anabaniwa sana.
 


Swali ni "FILL IN THE BLANKS" we umejibu essay.

Ulitakiwa kutoa jina na maelezo hayo ungebaki nayo.
 
Inawezekana Unayosema Lakini Mbona mimi nilikaa mikoani miaka ya 2003 , sikuwah kuijua clouds lakin nilimjua JD, mfano SONGEA, MTWARA , lind kote clouds ilikuwa haipo lakini tulimuona JIDEE kupitia ITV, eatv na kumsikiliza kupitia radio tananzania,one na free kiukwel miaka ile clouds tulikua hatuijui kabisa mkoan
 

umemaliza
 
Ukiwa commando raha,utatajwatajwa tu kila muda!
 
Biashara matangazo....kipaji mambo ya zamani
Ubora wa bidhaa ndo unafanya biashara iwe bora so lazima uwe na kipaj ndo matangazo yatakufanya uwe juu,lakin kama unakipaj cha kawaida unabebwa na matangazo hutafika mbal
 
Ubora wa bidhaa ndo unafanya biashara iwe bora so lazima uwe na kipaj ndo matangazo yatakufanya uwe juu,lakin kama unakipaj cha kawaida unabebwa na matangazo hutafika mbal

Wapo wengi tu mkuu wamefika mbali, kama una quality na umeifungia ndani nani atajua....you need to create traffic jam for people to know if you have got it or not...so there goes back to matangazo.
 

Redio zingine ni mkumbo
 

Mkuu ukishakuwa maarufu dsm wamkoani watakujua tu hata kwa kuambiwa na wajanja wa dsm kwamba kuna mtu fulani huku ni soo

Na mtu akiwa maarufu hata kama amebebwa na radio nyingine aka maarufu media zingine nazo zitafuata mkumbo kushibisha kiu ya wapenZi kwa kupiga sana nyimbo zake
 

pumba..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…