Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh au ndo babu kambust ninicountry boy
Shilole na snura mauno pia yanawasaidi on stage lakini kiukwel naona kama hawana vipaj vya kwelshilole,snura,recho na hemed phD
Ukisema Kalapina nakushangaa sana. Mimi naona kama vile anabaniwa sana.Wana JF tufunguke, je unaona msanii gani anakipaji cha kawaida sana lakini msaada wa promo kwenye Media Ndo Unamfanya Awe Juuu. Binafsi naona KALAPINA media ndo zinambeba
lady jaydee CLOUDS Enzi zile ilikuwa inambeba sana wimbo ukitoka tu nchi nzima utasikika,walipoacha kumbeba kidogokidogo akapotea japo yeye anadai hawajawai kumbeba jambo ambalo ni unafiki na uongo mkubwa kwani wengi tunajua hili hata kama walimkosea pengine ni masuala ya kibinadamu lakini kutangaza eti hata siku moja hawajawai kumbeba ni laana!......juzi juzi ndokaibuka tena bada ya bifu alilotengeneza kama hamuamini angalieni ivi jide alikuwa msanii wa kufanyia show uwaniyaani sehemu ndogo na kuacha sehemu ya watu wengi nje...iyo ina mana mwenyewe moyoni anakiri kwamba huenda alisahaulika amshukuru sana aliyemshauri kutengeneza bifu.SIMCHUKII ILA NASEMA UKWELI ULIVYO!
Inawezekana Unayosema Lakini Mbona mimi nilikaa mikoani miaka ya 2003 , sikuwah kuijua clouds lakin nilimjua JD, mfano SONGEA, MTWARA , lind kote clouds ilikuwa haipo lakini tulimuona JIDEE kupitia ITV, eatv na kumsikiliza kupitia radio tananzania,one na free kiukwel miaka ile clouds tulikua hatuijui kabisa mkoanlady jaydee CLOUDS Enzi zile ilikuwa inambeba sana wimbo ukitoka tu nchi nzima utasikika,walipoacha kumbeba kidogokidogo akapotea japo yeye anadai hawajawai kumbeba jambo ambalo ni unafiki na uongo mkubwa kwani wengi tunajua hili hata kama walimkosea pengine ni masuala ya kibinadamu lakini kutangaza eti hata siku moja hawajawai kumbeba ni laana!......juzi juzi ndokaibuka tena bada ya bifu alilotengeneza kama hamuamini angalieni ivi jide alikuwa msanii wa kufanyia show uwaniyaani sehemu ndogo na kuacha sehemu ya watu wengi nje...iyo ina mana mwenyewe moyoni anakiri kwamba huenda alisahaulika amshukuru sana aliyemshauri kutengeneza bifu.SIMCHUKII ILA NASEMA UKWELI ULIVYO!
Me naona kama anaimbia ubabe vileUkisema Kalapina nakushangaa sana. Mimi naona kama vile anabaniwa sana.
Inawezekana Unayosema Lakini Mbona mimi nilikaa mikoani miaka ya 2003 , sikuwah kuijua clouds lakin nilimjua JD, mfano SONGEA, MTWARA , lind kote clouds ilikuwa haipo lakini tulimuona JIDEE kupitia ITV, eatv na kumsikiliza kupitia radio tananzania,one na free kiukwel miaka ile clouds tulikua hatuijui kabisa mkoan
Ukiwa commando raha,utatajwatajwa tu kila muda!lady jaydee CLOUDS Enzi zile ilikuwa inambeba sana wimbo ukitoka tu nchi nzima utasikika,walipoacha kumbeba kidogokidogo akapotea japo yeye anadai hawajawai kumbeba jambo ambalo ni unafiki na uongo mkubwa kwani wengi tunajua hili hata kama walimkosea pengine ni masuala ya kibinadamu lakini kutangaza eti hata siku moja hawajawai kumbeba ni laana!......juzi juzi ndokaibuka tena bada ya bifu alilotengeneza kama hamuamini angalieni ivi jide alikuwa msanii wa kufanyia show uwaniyaani sehemu ndogo na kuacha sehemu ya watu wengi nje...iyo ina mana mwenyewe moyoni anakiri kwamba huenda alisahaulika amshukuru sana aliyemshauri kutengeneza bifu.SIMCHUKII ILA NASEMA UKWELI ULIVYO!
Ubora wa bidhaa ndo unafanya biashara iwe bora so lazima uwe na kipaj ndo matangazo yatakufanya uwe juu,lakin kama unakipaj cha kawaida unabebwa na matangazo hutafika mbalBiashara matangazo....kipaji mambo ya zamani
Ubora wa bidhaa ndo unafanya biashara iwe bora so lazima uwe na kipaj ndo matangazo yatakufanya uwe juu,lakin kama unakipaj cha kawaida unabebwa na matangazo hutafika mbal
Swali ni "FILL IN THE BLANKS" we umejibu essay.
Ulitakiwa kutoa jina na maelezo hayo ungebaki nayo.
Inawezekana Unayosema Lakini Mbona mimi nilikaa mikoani miaka ya 2003 , sikuwah kuijua clouds lakin nilimjua JD, mfano SONGEA, MTWARA , lind kote clouds ilikuwa haipo lakini tulimuona JIDEE kupitia ITV, eatv na kumsikiliza kupitia radio tananzania,one na free kiukwel miaka ile clouds tulikua hatuijui kabisa mkoan
Inawezekana Unayosema Lakini Mbona mimi nilikaa mikoani miaka ya 2003 , sikuwah kuijua clouds lakin nilimjua JD, mfano SONGEA, MTWARA , lind kote clouds ilikuwa haipo lakini tulimuona JIDEE kupitia ITV, eatv na kumsikiliza kupitia radio tananzania,one na free kiukwel miaka ile clouds tulikua hatuijui kabisa mkoan
Mkuu ukishakuwa maarufu dsm wamkoani watakujua tu hata kwa kuambiwa na wajanja wa dsm kwamba kuna mtu fulani huku ni soo
Na mtu akiwa maarufu hata kama amebebwa na radio nyingine aka maarufu media zingine nazo zitafuata mkumbo kushibisha kiu ya wapenZi kwa kupiga sana nyimbo zake