waambie waambie kamanda wangu mana ni wagumu kuelewa na wepesi kusahau!Mkuu ukishakuwa maarufu dsm wamkoani watakujua tu hata kwa kuambiwa na wajanja wa dsm kwamba kuna mtu fulani huku ni soo
Na mtu akiwa maarufu hata kama amebebwa na radio nyingine aka maarufu media zingine nazo zitafuata mkumbo kushibisha kiu ya wapenZi kwa kupiga sana nyimbo zake
Redio zingine ni mkumbo
Biashara matangazo....kipaji mambo ya zamani
Me naona kama anaimbia ubabe vile
Shilole na snura mauno pia yanawasaidi on stage lakini kiukwel naona kama hawana vipaj vya kwel
pumba..
Nsura Mwenyewe anakuambia nan alikuambia mchaga ajui kukatikakama vile wanafosi lakini hamna kitu pale.
lady jaydee CLOUDS Enzi zile ilikuwa inambeba sana wimbo ukitoka tu nchi nzima utasikika,walipoacha kumbeba kidogokidogo akapotea japo yeye anadai hawajawai kumbeba jambo ambalo ni unafiki na uongo mkubwa kwani wengi tunajua hili hata kama walimkosea pengine ni masuala ya kibinadamu lakini kutangaza eti hata siku moja hawajawai kumbeba ni laana!......juzi juzi ndokaibuka tena bada ya bifu alilotengeneza kama hamuamini angalieni ivi jide alikuwa msanii wa kufanyia show uwaniyaani sehemu ndogo na kuacha sehemu ya watu wengi nje...iyo ina mana mwenyewe moyoni anakiri kwamba huenda alisahaulika amshukuru sana aliyemshauri kutengeneza bifu.SIMCHUKII ILA NASEMA UKWELI ULIVYO!

mimi mwaka 2004
niko IRINGA NILIMJUA BINT KOMANDO BILA WAFU FM! Hao wafu wameingia iringa mwaka 2011
Hemed Phd
Inawezekana Unayosema Lakini Mbona mimi nilikaa mikoani miaka ya 2003 , sikuwah kuijua clouds lakin nilimjua JD, mfano SONGEA, MTWARA , lind kote clouds ilikuwa haipo lakini tulimuona JIDEE kupitia ITV, eatv na kumsikiliza kupitia radio tananzania,one na free kiukwel miaka ile clouds tulikua hatuijui kabisa mkoan
kipaji chake kipi cha rangi manake huyo mtoto ana vipaji zaidi ya kumi!